Who are our Heroes in Tanzania (The Great Achievers...)

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,194
1,355
Kwanini hatuwaenzi mashujaa wetu??? Kwanini Kusiwe na Movies za kuwaenzi kina Mkwawa e.t.c ili watoto na wajukuu wetu wawajue hawa watu (badala ya waigizaji wetu ku-act movie nyingi kuhusu witchraft, angalau hata chache ziwe za historical moments).

Hivi kwanza ni nani mashujaa wetu Tanzania naomba tusaidiane kuwakumbuka.... The Great Achievers (Rating them kwenye Scale ya 1-10)... baadhi kwa haraka haraka ni:-
1. MKWAWA (10)
2. SHAABAN BIN ROBERT (5)
3. FILBERT BAYI (3)
4. KIMWERI (7)
5. MANGI SINA OF KIBOSHO (7)
6. .......
 
Salim Ahmed Salim - Peace maker

Abdulwalid Sykes - Freedom Figher

Ali Hassan Mwinyi - Revolutionary and humanity

Joseph Sinde Warioba - Justice

Seif Sharrif Hamad - peace maker/politician

Ali Mafuriki - Business/Technology
 
Hivi kweli tukisema tuweke top ten heroes of Tanzanian ambayo ina kina Mkwawa hawa watakuwepo?
 
Mkwawa was a COWARD because by killing himself he was just too selfish to save his own soul from being abducted by the German colonialists.

In whose hands did he leave behind people that he ruled. A people left behind without a leader, without sophisticated weapons and little in food supplies could not fight the beasts any more!

Who was Mwakivanyika to Iringa subjects if not a mere traitor?

SHAABAN ROBERT is the hero. All that he wrote many years ago are still a living monument in our midsts.

1. 'Wasifu wa Siti binti Saada' anopopanda kukwani Ethiopia na nywele vilizofungamana jufla ...
2. 'Kusadikika', nchi iliokua ikifikirika tu, nchi iliokua ikielea tu angani enzi hizo, leo hii MAFISADI wote Tanzania wametia timu huko huko!!!
 
Mkwawa was a COWARD because by killing himself he was just too selfish to save his own soul from being abducted by the German colonialists.

Hapana ndugu yangu he did something required to be done it was eitheir angeshikwa na kudhalilishwa, au to take his own life. If killing oneself is easy how come Saddam Hussein could not do it mpaka Americans walivyomshika. Wont you say sometimes its better to kill yourself than get caught and humuliated
 
Sitti Mohamed - Freedom fighter

Sarrawatt - Democrasy (mgombea binafsi)

Mbaraka Mwinshehe -artist
 
Sitti Mohamed - Freedom fighter

Sarrawatt - Democrasy (mgombea binafsi)

Mbaraka Mwinshehe -artist
I agree kuhusu Mbaraka kwenye fani yake tanzania ni mtu wa kukumbukwa;
Je hao wawili tunaweza kuwalingisha na the likes of Mkwawa?
 
Hapana ndugu yangu he did something required to be done it was eitheir angeshikwa na kudhalilishwa, au to take his own life. If killing oneself is easy how come Saddam Hussein could not do it mpaka Americans walivyomshika. Wont you say sometimes its better to kill yourself than get caught and humuliated

Wakati anatekeleza azma yake ya kuchukua roho yake (Mungu amlaze salama huko apendako) ALIKUA AKIFIKIRIA PIA USALAMA WA HALAIKI YA WATU ALIOWAACHA NYUMA???
 
Wakati anatekeleza azma yake ya kuchukua roho yake (Mungu amlaze salama huko apendako) ALIKUA AKIFIKIRIA PIA USALAMA WA HALAIKI YA WATU ALIOWAACHA NYUMA???

Unajua lets take the example of Osama (sio kwamba nasema huyu jamaa ni shujaa hapana), mfano wamerakani wakimshika na kumfunga, wale wafuasi wake watakuwa wamepigwa pigo...... Lakini hata akijiua na asiposhikwa ile heroic status (kwa wafuasi wake bado itakuwepo) samahani kwa mfano mbovu sikuweza kufikilia mtu mwingine kwa haraka.

Unajua kipindi kile shukaa alikuwa ni mtu mwenye nguvu asiyeshikika. Je wakoloni wangemshika na kumpiga bakora mbele ya jamii si watu wangeona kama huyu shujaa anapigwa bakora sisi je?
 
" Originally posted by VoiceOfReason
Unajua lets take the example of Osama (sio kwamba nasema huyu jamaa ni shujaa hapana), mfano wamerakani wakimshika na kumfunga, wale wafuasi wake watakuwa wamepigwa pigo...... Lakini hata akijiua na asiposhikwa ile heroic status (kwa wafuasi wake bado itakuwepo) samahani kwa mfano mbovu sikuweza kufikilia mtu mwingine kwa haraka.

Unajua kipindi kile shukaa alikuwa ni mtu mwenye nguvu asiyeshikika. Je wakoloni wangemshika na kumpiga bakora mbele ya jamii si watu wangeona kama huyu shujaa anapigwa bakora sisi je?"

Ndugu yangu utumwa wa akili umekukamata, hata kumtaja Osama mpaka uombe radhi kwanza, pole sana ndugu yangu kwa maradhi ambayo naamini hayana dawa.
 
Ndugu yangu utumwa wa akili umekukamata, hata kumtaja Osama mpaka uombe radhi kwanza, pole sana ndugu yangu kwa maradhi ambayo naamini hayana dawa.
lazima niombe radhi kwa kumtaja Osama (brainwashing other poor people to do his dirty work) in the same sentence as Mkwawa..... lakini nimekumbuka msemo wa Jamaa mmoja alisema other people's heroes are others terrorists. Je wewe kaka huyu jamaa is he your hero???
 
msimsahau kinjekitile ngwale, hasana omary makunganya, bwana heri na abushiri bin salim, hao ndio waliokua ma roll model wa mwalim nyerere.
 
msimsahau kinjekitile ngwale, hasana omary makunganya, bwana heri na abushiri bin salim, hao ndio waliokua ma roll model wa mwalim nyerere.

Je ukiambiwa Shujaa wa Kwanza Kabisa Tanzania utamtaja nani mimi nilisema mkwawa lakini kuna mdau akasema jamaa alikuwa coward sababu alijiua.
 
Benjamin William Mkapa

Really?? kweli jamaa kafanya mengi.. ila tukiweka kwenye mizani mazuri na mabaya...... Sidhani kama huyu anaweza kuqualify kama Tanzanian Hero labda kwenye scale ya 1 - 10 tumpe 2
 
Back
Top Bottom