Walemavu wageuka lulu mitaani.

Walemavu wageuka lulu mitaani.

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,489
Reaction score
5,251
Uswahilini kuna imani imeenea sana kuwa wenye ulemavu wowote, wake kwa waume ni tiba ya virusi vya ukimwi.
Kama wewe umeathirika ukitembea na mlemavu unapona maradhi yako.
Jamani hii ni imani potofu, j.f tusaidie kuwaeleza jamii yetu kuwa wabadilike kutoka kwenye fikra za namna hii
 
Hakuna kitu kama hicho
 
That is too much now! Baada ya Albino sasa walemavu?
 
mi nlisha wahi kusikia tangazo kwenye redio nkadhani ni tangazo tu, kumbe haya mambo yapo?
waanzilishi wa imani hizi lazima watakuwa ni waganga wa kienyeji.
kweli taifa letu linaangamia kwa kukosa maarifa
 
Mkuu usikimbilie kukanusha.
Hapa mnyamani ninapokaa jirani yangu anatumia arv's na ameletewa binti kiwete ili amponye na maradhi yake.
hakuna kitu kama hicho
 
Huu ndo ujinga tunaokuwa nao, kwani walemavu hawana damu? Imani nyingine ni kuwaacha tu wajinga waendelee wakiondoka watabaki welevu tu!
 
Back
Top Bottom