KWA NINI KIKWETE HAENDI KUHIJI (HIJJAH) MECCA? Ili aitwe Alhadj Dr Dr Dr J.Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KWA NINI KIKWETE HAENDI KUHIJI (HIJJAH) MECCA? Ili aitwe Alhadj Dr Dr Dr J.Kikwete

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by It is Sur_Plus, Jan 1, 2011.

 1. It is Sur_Plus

  It is Sur_Plus Senior Member

  #1
  Jan 1, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani ivi ni kwanini Mh. Dr Dr Dr J.Kikwete haendi Mecca hukiji nae aitwe Alhad'j Dr Dr Dr Kikwete.
   
 2. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2011
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mmmmmmm mmmmm Hili nalo neno.?????
   
 3. It is Sur_Plus

  It is Sur_Plus Senior Member

  #3
  Jan 1, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  neno haswaa ndo maana nimeliweka jamvini
   
 4. T

  Topical JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ataenda siku akipenda na nafsi yake ikipenda kufanya hivyo (very personal thing)

  Besides ina kuhusu nini uhusiano wa mtu na Muumba wake?

  Wewe umeshaenda?
   
 5. m

  mzambia JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kwa midhambi aliyonayo kwenda hawezi hata kidogo maana wanaoenda kujisafisha kule angalau ni wasafi at least
   
 6. The Inquisitive

  The Inquisitive Senior Member

  #6
  Jan 1, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Inahusiana vipi na urais wake? Inatuhusu vipi sisi? Maswali mengine bana...
   
 7. T

  Topical JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  umeshakuwa mungu
   
 8. The Inquisitive

  The Inquisitive Senior Member

  #8
  Jan 1, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Wewe mwenyewe hapo umeshajichumia dhambi bureee kwa kumhukumu binadamu mwenzako. Ya nini?
   
 9. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #9
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Lete ushahidi kuwa hajaenda kuhiji.
   
 10. igwana123

  igwana123 Senior Member

  #10
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 175
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Off touch!
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Jan 1, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  imekuuma sana pole sana, hawezi kwenda huko afya mgogoro ataenda, halafu siyo msafi....
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Imeniuma? kwanini?

  Hawezi kwenda akienda utafanyaje?

  Siyo msafi? - wewe mungu?
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Jan 1, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Nilisikia ukienda huko utakuwa unaitwa alhaji....ila mimi napendekeza Mecca ihamishiwe Marekani hapo nina uhakika atakuwa anaenda kila wiki....
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,779
  Trophy Points: 280
  mavyeo kama ya alhaji komredi nduli idi amini
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,779
  Trophy Points: 280
  we jamaa umenichekesha ...ngoja nikapate 1 moto
   
 16. T

  Topical JF-Expert Member

  #16
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kusikia bila kuhakiki ni uzezeta.
   
 17. M

  Mwera JF-Expert Member

  #17
  Jan 1, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  akienda hijja asiende wewe inakuhusu nini?hayo ni mambo yamtu binafci hayapaswi kuingiliwa,ila hili swali ungemuuliza mwenyewe jk,kwa msaada chukua nambayake yasimu,ni 07*4***777 hizo nilizoacha kukupa ni Pm ntakupatia ukiwa unamaelezo yakunitosheleza.
   
 18. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #18
  Jan 1, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Imeniuma? kwanini? kauli yako hii "ina kuhusu nini uhusiano wa mtu na Muumba wake?" ulisahau kuwa JK ni rais wa Tanzania tuna haki ya kumjadili
  Hawezi kwenda akienda utafanyaje? -Atakuwa ametekeleza nguzo ya tano ya dini yake kama sikosei ila sahau JK kwenda Mecca labda ihamishiwe Marekani
  Siyo msafi? - wewe mungu? - kwani mimi nataka kwenda Mecca, mimi siyo Mungu ila JK siyo msafi hata kidogo.
   
 19. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #19
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwenda kuhiji kunahitaji mtu msafi au ni kwenda kujisafisha?
   
 20. T

  Topical JF-Expert Member

  #20
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Bado hainiumi kitu chochote aende asiende Tanzania kuna waislamu millions kila mwaka wanaenda watu 3000!

  Kwahiyo akiamua kutokwenda atakuwa kwenye kundi kubwa tu la Waislamu..ok

  JK siyo msafi..lol...alikwambia yeye ni nabii?
   
Loading...