Jamani msaada please!!

Jamani msaada please!!

mgen

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
23,255
Reaction score
9,174
Wana jamvi nisaidien kwa hili!! Nilisikiliza hotuba ya m***re iliyo na maneno mazuri na yakuvutia!nilikuwa naomba kama inawezekana kuna producer au dj atengenezee beat/midundo achanganye na verse za m7.
 
logo.gif
 
bro namaanisha hotuba ya mh ric e ilikuwa kama wimbo
Nyorosha MANENO BRODA, UNAJIUMAUMA NINI weye?...sema hotuba ya bwana jk😛arty:
Hivi alikuwa anasoma kwenye makaratasi kama Msahafu ee?...kweli pale ukiweka beat unapata wimbo...😛arty:
 
haha!ha!ha! Teh!teh! NIDHAMU YA UOGA KIJANA ANAUZUNGUKA MBUYU. Afadhari umemtengenezea njia.
 
Wana jamvi nisaidien kwa hili!! Nilisikiliza hotuba ya m***re iliyo na maneno mazuri na yakuvutia!nilikuwa naomba kama inawezekana kuna producer au dj atengenezee beat/midundo achanganye na verse za m7.

huyo m7 wa uganda? Du! Najiulia kama hiyo singo ikatengenezewa na video ya tukaona live anavo pafom stejini dah hii imetulia nimeipenda
 
Nyorosha MANENO BRODA, UNAJIUMAUMA NINI weye?...sema hotuba ya bwana jk😛arty:
Hivi alikuwa anasoma kwenye makaratasi kama Msahafu ee?...kweli pale ukiweka beat unapata wimbo...😛arty:

haha!ha!ha! Teh!teh! NIDHAMU YA UOGA KIJANA ANAUZUNGUKA MBUYU. Afadhari umemtengenezea njia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom