VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
Je ni kweli kuna watu wana bahati kuliko wengine au ni kwamba kuna watu wanajua kuona opportunies kuliko wengine na kuzifanyia kazi?
Je is it being at the right place at right time, au kila mtu ana bahati kama mwenzake lakini wengine huwa hatuzioni bahati zetu na zinatupita…..?
Je kila bahati mbaya unayoipata lazima kuna jambo ambalo ulilifanya lililopelekea hayo matatizo?
What am trying to say is maybe everyone has their fair share of good and bad fortunes….. na hizi hazichagui kwamba zimpate mtu mmoja na zisimpate mwingine… ila kuna watu wako prepared kutake advantage ya hizi opportunities kuliko wengine au mnasemaje wadau?