Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Clouds wanapiga nyimbo zilezile kila kipindi. Leo nimesikiliza vipindi vya kuanzia asubuhi hadi muda huu. Yaani mtu unaweza kuotea nyimbo zitakazo pigwa kwenye kipindi cha kesho. Hatari...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, amekubali kumaliza sakata hilo ambalo liliibuka mwishoni mwa mwaka jana baada ya Tanesco kutaka kupitisha nyaya za umeme juu ya mabango ya kanisa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika ile hali ya kutapatapa kwa Wahindi wa jengo la Myfair Plaza pale Mikocheni hali sasa yaelekea kuwa tete au mbaya. Kwa wale wanapafahamu wanajua ya kuwa wapangaji/tenants wengi wakubwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
"NINAKUMBUKA na kamwe siwezi kuusahau mwezi Agosti, mwaka 2007, hii ni baada ya mimi kutokewa na tukio la kuzomewa na kikundi cha wananchi katika mkutano wa hadhara ambapo Rais Jakaya Kikwete...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakulu, heshima mbele! Hivi kuna ukweli wowote kwamba wanaopenda kuweka tinted kwenye magari ni wazee wa ku-Do? Mara nyingi utakuta watu wanaweka tinted kwenye vioo ya vyuma kwa ajili ya kuficha...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Jamani mwenye uelewe ama muswaada wenyewe kuhusu Wauguzi na Wakunga kama ulivyojadiliwa leo Bungeni naomba atumwagie japo kwa muhtasari. Hasa implications zake katika suala zima la huduma za afya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Marekani yakosoa utawala wa Nigeria Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton amekosoa vikali utawala wa Nigeria kwa kutowajibikia majukumu yake vilivyo. Bi Clinton amesema hali mbaya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Scott Moore kushoto akiwa na mumewe Thomas kulia January 27, 2010 Mwanaume wa nchini Marekani ambaye alizaliwa kama mwanamke kabla ya kubadili jinsia yake kuwa mwanaume anatarajia kujifungua...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wasanii wetu wakiimba nyimbo zao kwa ajili ya biashara zinakuwa tamu sana kuzisikiliza. Haohao wakiimba nyimbo za maafa au magonjwa hutopata hamu hata kidogo ya kuurudia wimbo huo. Midundo mibaya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi nashangaa sana hivi matiti makubwa yanauzuri gani? Kweli kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza! Mbona wenye matiti madogo wengi wao wanayaficha? Waliowengi wenye matiti makubwa hupenda...
0 Reactions
55 Replies
8K Views
MENGI yameandikwa na yanaendelea kuandika kuhusu "Maridhiano" yanayoelezwa kuwa yamefikiwa baina ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Amani Karume na Katibu Mkuu wa CUF...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
na Grace Macha, Moshi MAKADA mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwemo Mwenyekiti wao wilayani hapa, Godfrey Mwangamilo, jana walifurika kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NAOMBA NIANZE NA HAWA TRA HAWA JAMAA HAPA ARUSHA SIDHANI KAMA WANAITAJI MSHAHARA MWISHO WA MWEZI SERIKLI IMEWAPA ONETEN LANDROVER YAANI WANAVYOKUWA N A NJAA JAMANI NI AIBU,,KILA SEHEMU WANAINGIA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kuna hii mada ipo inajadiliwa wapo redio na watu wanachangia nimeona na mm tuijadili hapa jf kwa great thinkers. karibuni tujadili mimi naanza kwa kuchangia kwamba dini kama dini zimeleta amani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati kipindi kilipoonyeshwa kuhusu rushwa za matraaffic kule iringa nilijua ndugu zetu watakuwa na uwoga kidogo la hasha leo hii nikiwa ktk basi kutoka usa kwenda kimandolu mkoa wa arusha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Si wote wanaokimbilia Haiti na Kilosa wanalengo la kusaidia. Ni mapema mno kufanya kama wafanyavyo mataifa makubwa kuhusu Haiti, kwani kwayo ajenda ya kusaidia ni tofauti kabisa Vyovyote iwavyo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana JF na Wapenda Maendeleo, Napendekeza wataalam wa kutengeneza tovuti wajitokeze ili JF tutengeneze tovuti ya kitaifa ya Sayansi kwa ajili ya wanafunzi na walimu wao. Tunaweza kushirikiana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkataba wa shirika la reli RVR kufutwa? Wajumbe wa serikali za Uganda na Kenya wanatarajiwa kukutana leo nchini Uganda ili kujadili hatma ya kampuni ya Reli ya Rift Valley Railways. Nchi hizi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…