Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

RAIS Jakaya Kikwete amesema watakaojihusisha au kutuhumiwa kwa vitendo vya rushwa kwenye mchakato wa uchaguzi ndani ya vyama vya siasa na wakati wa uchaguzi mkuu ujao, watachukuliwa hatua kali za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni muda mrefu tumekuwa tukimsikia Mheshimiwa Makufuli akiwataka wavuvi wanaotumia nyavu ndondogo wengine wanaita korokoro wazisalimishe au wakikamatwa watachukuliwa hatua za kisheria. Kimsingi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
A Standard V pupil of Kipawa Primary School, Omar Ramadhan (12) writing in his exercise book at home in Chanika Mgeule on the outskirts of Dar es Salaam as captured by our roving photographer...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Mko msibani wakati wakutoa jeneza, marehemu alikuwa rafiki yako, hivyo unalazimika kuwa mstari wa mbele katika kubeba jeneza. Lakini kwa jinsi usivyomstaarabu huku-mute wala kuzima simu yako. Ile...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
MAISHA ya mtangazaji wa Shirika la Habari la Taifa kupitia Kituo cha Runinga cha TBC1, Jerry Muro, yanadaiwa kuwa hatarini kufuatia vitisho vya mauaji anavyopokea kwa njia mbalimbali ikiwemo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kuna habari zilizothibitishwa kwamba kampuni ya simu inayokuja kwa kasi kwenye huduma ya internet imevamiwa jana usiku wa saa 4. Kwa mujibu wa chanzo cha uhakika ni kwamba gari ndogo aina ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii ni siri ya kudumisha AMANI na maelewano. Sisi wanadamu tuna mambo mengi sana tunafanana kuliko tunavyo tofautiana. Ukiishi kwa ukweli wa jambo hili utakuwa mtu wa amani na maelewano na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Masturbation is healthy for both men and women. 70% of highschoolers have had sex before they have graduated. 27% loose their virginity senior prom night. Only 3% wait until marriage. 95%...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watani mpo?
0 Reactions
52 Replies
5K Views
KUNA mashirika mengi sana ya kijasusi na ulinzi wa watawala na nchi. Maarufu sana ni kama C.I.A, iliyokuwa KGB, MOSAD, Swiss Guard na mengine mengi. Kati ya hayo yote ni wepi ambao wanafanya kazi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa matokeo ya uchunguzi wa kitabibu, baadhi ya kuku wa kufugwa wanaoingia sokoni wamekuzwa kwa kutumia ‘utundu’ wenye hatari wa baadhi ya wafugaji wasio waaminifu kwa kulisha mifugo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Juzi ITV niliona Regnald Mengi akilaumu kwamba ombaomba wametengwa katika jamii kwa kukataliwa kuwa ombaomba, ati hawasaidiwi tena barabarani. Jana nimesikia tena ITV Mwenyekiti wa Vilema Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Question: What is the difference between men and puppies? Answer: Puppies grow up. ************************ Question: Why do men always have a stupid look on their faces? Answer: Because they...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MHASIBU Msaidizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam, Amos Kabisa, maarufu kwa jina la Angaya amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusomewa mashitaka matatu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Please don't shoot me for the sensational title, I just want to find out what you think of cats. Personally i find them too wily to human conscious, that's why i somehow regard them as being...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
Wandugu tumejadili mengi sana kuhusu suala la ufisadi mpaka ikatokea baadhi ya watu kuitwa mafisadi nyangumi, papa, na vidagaa. Nia nzuri ya mijadala hii ya kifisadi ni kutaka kukomeshwa kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Eti wafikiriaji kwa nini mauaji na tabia za kinyama tumekuwa tukizishuhudia ZAIDI katika mkoa wa Mara na si mikoa mingine nchini? Nini tatizo kwa wenzetu hawa hivi kuna study yoyote ya kisayansi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kwa sababu gani? kwa sababu ukimchukua ndugu yako wa karibu ikitokea kaharibu jambo, utashindwa kumchukulia hatua za kisheria kwa sababu...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Mtandao huu jana ulikuwa na habari ya kada wa UV CCM ambaye ni mgeni mjini Iringa kuibiwa simu yake katika mazingira ya kutatanisha bar moja maarufu ambako alikwenda kutafuta mwanamke kwa ajili ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jana katika pita pita zangu huko Kigogo kwa Bint Kahenga nimekutana na Tangazo la mganga kutoka Moshi, nimeshangaa sana mie nishazoea matangoza ya mganga toka Sumbawanga, Tanga, Bagamoyo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…