Nyumba ya Mh.Mwambalaswa yateketea kwa moto!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya Mh.Mwambalaswa yateketea kwa moto!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mchajikobe, Mar 10, 2010.

 1. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Nyumba ya muheshimiwa mbunge,Mwambalaswa jana majira ya saa moja jioni iliteketea kwa moto,nyumba hiyo inayotizamana na barabara ya kinondoni iliteketea japokuwa kikosi cha zimamoto kilijaribu kuuzima moto huo.Naipa pole familia ya Mh.kwa hasara waliyoipata!!
   
Loading...