Mwanamke Apata Ajali Akijionyoa Nywele za Sehemu za Siri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke Apata Ajali Akijionyoa Nywele za Sehemu za Siri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbonea, Mar 10, 2010.

 1. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwanamke mmoja wa nchini Marekani huenda akatupwa jela baada ya kuligonga gari jingine alipoamua kuzinyoa nywele zake za sehemu za siri huku akiendesha gari.Megan Mariah Barnes mwenye umri wa miaka 37 aliamua akiendesha gari kuelekea kwa mpenzu wake kusini mwa Florida, Marekani wakati ajali hiyo ilipotokea, televisheni ta WFOR-TV imeripoti.

  Megan aliamua kujiweka sawa kabla hajafika kwa mpenzi wake na kuanza kuzinyoa nywele za sehemu zake za siri huku akiendesha gari huku akiamuachia mumewe wa zamani aliyekuwa kwenye gari hilo awe anabadilisha muelekeo wa usukani.

  "Kama nisingekuwepo kwenye eneo la tukio nisingeliamini tukio hili", alisema afisa wa polisi Gary Dunick.

  Megan alijitetea kuwa aliamua kujionyoa nywele zake za siri huku akiendesha gari ili awe tayari tayari atakapofika kwa mpenzi wake.

  Megan aliligonga lori gari lililokuwa mbele yake wakati huo akiwa kwenye spidi ya kilomita 72 kwa saa.

  Siku moja kabla ya tukio hilo, Megan alinyang'anywa leseni yake baada ya kufungiwa kuendesha gari miaka mitano kutokana na makosa ya kuendesha gari huku akiwa amelewa.

  Megan huenda akahukumiwa kwenda jela mwaka mmoja kwa kuendesha gari kizembe, kuendesha gari bila ya leseni, kuendesha gari bila ya bima na kuondoka kwenye eneo la ajali huku akiwa na majeraha.
  http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsId=4202078&&Cat=2
   
 2. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mmmmmm dunia ina mambo, ama ni bin adam??
   
 3. Dr. Chapa Kiuno

  Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2010
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 445
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani.......... hiii kali....
   
 4. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #4
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Huyu mwanamke ***** sana ! hajui nywele zina mvuto wake kwenye hiyo shughuli? au kulikuwa kumegeuka msitu?
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  watu wanavituko sana ..yeye hajui safety first ..
   
 6. l

  libaba PM Senior Member

  #6
  Mar 10, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  dunia inamambo yake.
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  mpenzi kwanza, usalama baadae
   
 8. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Na huyo msichana bado anaishi maisha ya kunyowa ,wengi siku hizi wanasuka ndio fesheni mpya.
   
 9. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Jamaa nzoba kweli...
  Anamsindikiza mkewe kwa libwana lingine...
  Tehe tehe eee haha hahah aaaaaaaaaa
   
 10. b

  blackpepper JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 382
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mambo ya kuandaa uwanja hayo yamezua balaa
   
 11. senator

  senator JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Dah hata nami nimeshangaa hapo au jamaa ni GAY?? au binti alikuwa ananyoa nywele za kwapa..huenda nazo ni private part
   
Loading...