Tibaijuka aombwa kuwatimua maofisa ardhi Kinondoni
na Andrew Chale
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), amemtaka Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Anna Tibaijuka kuwafukuza kazi...
Wakuu::
Baada ya Miaka 15 ya kuchapa kazi, Baba_Enock ameweza kujenga vyumba viwili maeneo ya Buza na sasa amehamia huko na anaishi na familia yake raha mustarehe!
Takribani miezi miwili hawa...
Gari la Waziri lahusishwa kwenye wizi
Tuesday, 18 January 2011 21:38
Sadick Mtulya
JESHI la Polisi Mkoani Morogoro, limekamata gari la Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Lucy Nkya...
Baada ya migomo kadhaa ya mahabusu iliyotokea magereza mbalimbali nchini,hatimaye serikali imesikia kilio chao na kuagiza uchunguzi wa kidaktari unatakiwa kukamilika ndani ya majuma...
President Barack Obama and his family received hundreds of thousands of dollars in gifts from world leaders in 2009, the US has revealed.
Among the top givers was Saudi King Abdullah...
Hukumu ya Dowans ya ICC yatua Mahakama Kuu Dar
Na Waandishi wetu
19th January 2011
Mchakato wa kuisajili waanza
UVCCM nao waipinga Dowans
Mitambo ya Dowans
Hatimaye Mahakama ya...
Katika gazeti la leo la The Citizen limemkariri Mkurugenzi Mkuu wa TCRA akisema kuwa kampuni za simu zina gharama kubwa za uendeshaji.
Katika hili tunaiomba TCRA iweke wazi gharama za undeshaji...
Baada ya leo siku nzima Zantel kuwa Down na kupiga simu customer service na kupewa majibu ya mtandao upo down, kana kwamba its okay and I should accept it, hii imenifanya nijiulize hivi...
Jumamosi tumetoka na binamu zangu na wadogo zangu, tumeenda sehemu tukiwa tumejiaandaa kujirusha .
Tumeagiza vinywaji kila mtu kwa jinsi alivyo taka kutii kiu yake.
Tukiwa bado tunaendelea...
Mchungaji adaiwa kukutwa na marehemu 3
Imeandikwa na Thomas Dominick, Musoma; Tarehe: 19th January 2011 @ 07:59
WANANCHI wa kijiji cha Nyankanga, Musoma Vijijini, mkoani Mara wamevamia kwa...
Muda sio mrefu majira ya saa tano na robo saa za Afrika Mashariki kumetokea tetemeko la Ardhi mjini Dodoma japo halikuleta madhara ya moja kwa moja kama uharibifu nk.
Wadau vipi ile ahadi ya waendesha mashtaka wa serikali na kauli ya JK wakat akijibu maswali live tbc kuwa wamekata rufaa.
Je, bado tu? na je appeal si huwa zina time deadline?
Kijiji cha Kunduchi hatarini kutoweka
Na Job Ndomba
KIJIJI cha kihistoria cha Kunduchi Pwani jijini Dar es Salaam, kipo hatarini kutoweka kutokana na maji ya nguvu ya bahari yanayodaiwa...
Wana Jf wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania uliopita vyuo vikuu vilichelewa kufunguliwa kisa fedha ya kuwalipa wanafunzi hakuna eti hivyo wakasogeza mbele ili wapate fedha cha kushangaza hata...
Jamani wana JF, si mnazijua zile spam za kutapeli watu fedha? Hii ya leo kali! Kuna njemba inajifanya mtoto wa Julius Kambarage Nyerere.
R. JULIUS NYERERE JNR
JOHANNESBURG
SOUTH AFRICA
TEL...
At school, a boy is told by a classmate that most adults hide at least one dark secret and that makes it easy to blackmail them by saying, "I KNOW THE WHOLE TRUTH", even when you don't know a...
Posted by JacobSloan on January 17, 2011
Abu Dhabi now controls its weather with giant ionizers, the Telegraph reports:
A secret £7 million weather project in Abu Dhabi has resulted in...
Natarajia kuwepo kisiwa cha marashi ya karafuu wiki ijayo.
Kwa JF Members mlioko kisiwani unguja, nitafurahi kama nitaweza kupata muda wa kukutana nanyi ili tufahamiane "nje ya mzimu wa pc"...
Changia wahanga wa maafa katika maandamano ya amani arusha. Tuma mchango wako kwa m-pesa 0753 444 443, zap 0688 111 161 na tigo pesa 0659 173 663 au fika ofisi ya mbunge.
Changia kiasi chochote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.