Leo ni siku ya mwanamke duniani pongezi kwa kina mama... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo ni siku ya mwanamke duniani pongezi kwa kina mama...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by FirstLady1, Mar 8, 2010.

 1. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hongera sana kina mama wenzangu kwa siku hii ..tupendane, tuwapende waume na watoto wetu tuwasaidie yatima na wote wasiojiweza na kuhitaji msaada wetu tuzidishe umoja na mshikamo ,.......
  Kina baba tunaomba sana suport kutoka kwenu kwani mwanamke ana haki ya kupendwa na kuthaminiwa ..
  Nawatakia sikukuu njema sana
  NB; dedication song wanawake na maendeleo by Vicky kamata
  FL1
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Hongereni akina mama na akina dada wote popote mlipo..
   
 3. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kumbe hili ndio lengo la siku ya wanawake duniani.
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Dedikesheni yangu kwenu ni wimbo wa Thank you mama ulioimbwa kwenye ile filamu ya Sarafina, sijui jina la mwambaji..
   
 5. C

  Cool Girl Member

  #5
  Mar 8, 2010
  Joined: Sep 9, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijajua kauli mbiu nini,wadau nijulisheni
   
 6. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Kauli mbiu ya mwaka huu:
  Miaka 15 baada ya BEIJING.
   
 7. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Hongereni sana wanawake wote.
   
 8. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  teh teh teh teh

  no wonder mnaendelea kuwasamehe wanaume pale wanapovunja uaminifu.
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Hilo hapo kwenye red ndio neno zuri zaidi!

  Hivi siku yetu wanaume duniani ni lini? Kina mama tufahmisheni!
   
 10. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=Z26IzfpmPHI"]YouTube- Tanzania - Bongo Flava - Vicky Kamata - Wanawake Maendeleo[/ame]

  Haya FL1 dedication hiyooo...Happy Womens day!
   
 11. C

  Cool Girl Member

  #11
  Mar 8, 2010
  Joined: Sep 9, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  miaka 15 baada ya beijing!!!anyway wanawake sasa walau wako juu,wanasikika japo si sana!walioko mjengoni hatujaona wamefanya nini mpaka sasa zaidi ya mashindano ya vitenge!!!
   
 12. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hongereni sana!hebu TUJIKUMBUSHE KWA KUBONYEZA HAPA

   
 13. M

  Magezi JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  inakuwaje Viki kamata kila anapoenda kuzindua JK na yeye lazima akatumbuize?????? fl1 naomba jibu!!
   
 14. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mkuu siku za (sio ya) wanume ni zote kasoro hii ya leo (8/3) kwa hiyo wanaume wana siku 364 na wanwake wanayo 1!!!!!!!!!!!!!. kwa kweli juhudi zaidi zinahitajika kuleta usawa (kama unawezekana)............

  so sad....................
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Hehehe! Nimekusoma kiongozi!

  Leo lazima tulale bila kula chakula cha usiku:D:D:D!!
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Leo ni: HESHIMA JUU kwa WANAWAKE!
  Chrispin [​IMG] 15th January 2010, 09:13 AM
  Kuna tukio nililiona jana:
  Acheni niwape heshima iliyotukuka wanawake woote;
  IMAGINE:

  ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau!!!

  UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakini baadaye anakusamehe. Halafu analea mtoto uliyemzaa nje kwa upendo. Kama ni kuchukiwa atachukiwa mtoto, si wewe uliyefanya umalaya!

  UNARUDI USIKU WA MANANE UKIWA MTUNGI: Anakukaribisha, anakuandalia chakula, unagoma kula. Anahifadhi chakula alichokuandalia bila manung'uniko.

  UNAAMKA ASUBUHI NA MAHANGOVER: Anakuandalia staftahi (saa nyingine unagoma kutumia staftahi yake unakimbilia baa kwenda kunywa Supu na kuzimua. Wala halalamiki!

  CHAKULA CHA USIKU: Ushapiga mtungi wako, mtarimbo umesimama, unataka huduma. Unamrukia, hamna maandalizi unamuumiza (Wengine wana mamitarimbo ya kufa mtu, sasa imagine hujamuandaa: LOL) Anavumilia ili akuridhishe. Na kesho yake tena inaweza tokea hii; hana kinyongo!

  UNAJIANDAA KWENDA KIBARUANI: Unakuta kashakuandalia viwalo, suruwale imenyooshwa kama ya askari trafiki, shati limepigwa pasi ya maana! Nguo ulizovua jana zimeshalowekwa tayari kwa kufanyiwa usafi! Ulichomuudhi jana kashasahau na kukusamehe!

  UNAMPA UJAUZITO: Anauthamini, anautunza anajifungua kwa uchungu, mtoto anakuachia wewe umpe jina, la kwake halimo kabisa kwenye majina atakayotumia mtoto! Na pamoja na uchungu wa kuzaa, bado yuko radhi kukuzalia mtoto mwingine na mwingine tena!

  Na mengine meeeeengi sana wanafanyiwa hawa watu lakini WANASAMEHE, WANAVUMILIA! Ni watu muhimu sana hawa watu maishani mwangu!

  HIVI INGEKEWA WANAUME TUNAFANYIWA HIVI INGEKUWAJE?

  Kwa leo acheni tu niwape heshima zao wanawake wote:

  I SALUTE AND LOVE THEM WOMEN!

  (NB: Leo niko kimaadili zaidi!)


   
 17. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160


  Sure, tunatakiwa tuwape heshima ya juu sana wanawake.
  Ingawa na wao sometimes huwa wanatuangusha katika moments ambazo hatutegemei kabisa.

  Maximum respect kwa wanawake wote.
   
 18. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #18
  Mar 8, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,813
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  I love women but not all women coz some wanadharaulisha uanawake
   
 19. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  sis waume zenu tunawapa sana haki ila wengi wenu huwa mnajivurugia sana, mnasemana ovyo
  mnategemea kila kitu tuanzishe sis
  mnasubiri kuteuliwa
  nk nk nk


  ndo maana wakati miaka 15 toka beijing haki zenu ni za kweny makaratas.

  sasa hiv tumesema 50% bungen, basi naomba mkagombee sio kusubiri kuteuliwa
   
 20. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,813
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Enyi wanawake, yenu siku furahini
  Enyi wanawake, daima nawapendeni
  Enyi wanawake, familia lindeni
  Enyi wanawake, imara simameni
  Enyi wanawake, yenu siku furahini

  Enyi wanawake, baadhi tabia badilisheni
  Enyi wanawake, vipaji tumieni
  Enyi wanawake, rasilimali sio ninyi
  Enyi wanawake, taifa linawategemeeni
  Enyi wanawake, yenu siku furahini

  Enyi wanawake, mijini na vijijini
  Enyi wanawake, silaha yenu shikamaneni
  Enyi wanawake, ulingoni tingisheni
  Enyi wanawake, kubaguana wacheni
  Enyi wanawake, masumbwi msitupianeni
  Enyi wanawake, yenu siku furahini
   
Loading...