Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

wajukuu zangu babu yenu naenda LAMU kupumzika pasaka hii...mwenye kutaka zawadi ani PM nimleteee
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Flier ya Traffic light FEKI Hivi kweli unasubiri mtanzania mwenzio aanzishe kitu then wewe unataka tu kutengeneza pesa kwa kutumia idea zao? Huyo ni uizi wa kiaina na vile vile unaweza kuwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kama Desturi Yake Nigeria Man Ni Lazima Afanye Unaigeria Wake. The innocent Kenyan girl was left to pay for the scandal "She was a good care worker, always punctual and honest in her duty"...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani tumwombe sana mungu atusamehe.......kama kweli sisi wote tumeumbwa kwa mfano wake, na kwamba wote tu watu wake!! Basi..... Ni wachache watakaouona ufalme wa mbinguni........!! Je wewe uko...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hercules: The World's Biggest Dog Ever According to Guinness World Records Hercules was recently awarded the honorable distinction of Worlds Biggest Dog by Guinness World Records. Hercules is an...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Najua watu wengi watanishangaa kwa kuuliza swali hili: ASKOFU MKUU NOVATUS RUGAMBWA NI RAIA WA NCHI GANI? Ninajua kabisa kuwa kwa kuzaliwa ni raia wa Tanzania kwa kuzaliwa lakini ninaamini...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari za saa hizi wakulu,,hapa kuna jambo ambalo nimeona bora niliweke ili liweze julikana na kupatiwa ufumbuzi kama kuna uwezekano,Diwani wa kata ya Hananasif Mh.Abbas Tarimba(former president...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naja kwenu wadau wa jamvi hili la JF. Kutokanana hali ilivyo nchini kwetu(TZ).Majanga mbali mbali yanatukumba ilihali wakuu wa nchi hawayachukulii hatua madhubuti za kuyatatua kama siyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Piki piki inauzwa, Aina ni yamaha, TTR, inatembea, Document zote zipo, bei 1,700,000/=, maongezi yapo, mawasiliano 0718 338293, ndugu Iddy, ipo hapa hapa Dar,
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanawake wanaofuata mali China ijumaa wikienda...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Holy Week. Baada ya jana kuelezea matukio ya Jumatatu,sasa tuendelee na matukio ya Jumanne. Saa moja asubuhi Yesu aliongea na Mitume wake, pia aliongea na Lazarus kumwambia atoroke kwenda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama ni mechi tumepigwa kanzu!,What I know is that; U can not eat cake n still have whole of it, kama pesa za EPA wamekula, zinatoka wapi?.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ASILI YA APRIL FOOL Asili ya April Fool haikujulikana kwa uhakika na kuna rai mbali mbali zinazohusiana nayo. Wengine wamesema imeanza kutokana na sherehe za majira ya kuchipua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekutana na dada mmoja akanifurahisha sana tulikuw a tunaongea kuhusu madada zetu walivyogeuka ATM gafla na wengine kuwa Vibomu vya Miizinga hakika akuacha kuwa muwazi na kusema sasa kama wengi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani sisi tunaotumia mtandao wa Africaonline kwa ajili ya matumizi ya internet tumeonja joto ya jiwe toka jumamosi mpaka leo hii ninapoandika hii bado hatuna internet. Network hakuna toka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
mtoto magath alikatwa mikono na mtu asiejulikana kwa madai kuwa viganja vyake vina michoro ya utajiri, Tanzania ni nchi inayojulikana kama moja ya nchi zenye amani na utulivu ulimwenguni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
CAUTION MONEY CHUO KIKUU UDSM MNAPELEKA WAPI? Ni kawaida katika academic institutions mbalimbali kutoa fedha kiasi fulani unapojiunga kwajili ya tahadhari kwa uharibifu wa mali etc. unapokuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
By T. D. Jakes There are people who can walk away from you. And hear me when I tell you this! When people can walk away from you: let them walk. I don't want you to try to talk another...
0 Reactions
1 Replies
991 Views
Imagine yourself driving along on a wild stormy night. You pass by a bus stop, and you see three people waiting for the bus: 1. An old lady who is about to die. 2. An old friend who once...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF habari za mapumziko ya mwisho wa wiki...Kuna tangazo moja redioni la Haki Elimu linanifurahisha sana..Ni pale mwalimu mkuu anapomuagiza mwalimu mmoja kufundisha somo la hesabu na jamaa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…