Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkurugenzi wa bank ya baclays dar es salaam amelipa gazeti la sauti ya watu siku saba kuomba radhi kwa kicha cha habari "MENGI AIIBIA BACLAYS".... limeichafua ofisi yetu na kuonekana tunaibiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WAFANYAKAZI wanaokadiriwa kufikia 150 kati ya 297 wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), watapunguzwa kazi ili kuweka uwiano kati ya watumishi na idadi ya ndege zinazotoa huduma ndani ya shirika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakati naperuzi 'literature review' on the state of political economy of Tanzania over the years, nimepata bahati ya kusoma insha ya mchumi wa Kitanzania akielezea vyanzo vya umaskini wa nchi za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbwa aliyezua tafrani Z`bar apelekwa NY 2009-03-15 14:07:06 Na Mwinyi Sadallah, Zanzibar Hatimaye mbwa aliyedaiwa kuwa kero kubwa kwa wafanyakazi wa hoteli ya Kimataifa ya Zamani Zanzibar...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Fourth Burundian albino murdered in a month 2 days ago BUJUMBURA (AFP) An albino man was murdered and dismembered overnight in Burundi by suspected smugglers with links to Tanzanian witch...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Theopista Nsanzugwanko Daily News; Monday,March 16, 2009 @18:50 Polisi leo inaanza operesheni maalumu ya kukagua na kukamata daladala, kubaini watakaotoza nauli kinyume na utaratibu ili...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Dear JF Businessmen, We have a consignment of fragile laboratory equipments to be shipped to Zanzibara. The final destinations of the equipments are Pemba and Unguja If you are a...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Beda Msimbe Daily News; Monday,March 16, 2009 @09:00 Barabara ya Kilwa ambayo imejengwa njia mbili inakaribia kumalizika huku kituo cha mabasi kikubwa katika barabara hiyo cha Mbagala Rangi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Since,too many peole in the Forum are being too amoruos,,and since The Pope is coming to Africa today,let us remine ourselves of these rules. This Pope chose this name ,because he believed that...
0 Reactions
0 Replies
954 Views
NINAANDIKA kwa niaba ya vijana wa Kinondoni Biafra na maeneo karibu ambako tunafadhaishwa na kitendo cha kampuni kubwa kama Zena Mobile phones kuvamia uwanja wetu na kutunyima nafasi ya kufanya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
If you have found yourself in a situation where the process seems to change, accountabilities are uncertain and deadlines are missing, then perhaps you have a people, process and technology...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi unafahamu kwamba kuna watu wengi sana miongoni mwetu ambao hutumia fedha nyingi kwa vitu au mambo yasiyo ya lazima? Kwa kadri tunavyojipatia fedha zaidi ndivyo tunavyoitumia bila mpangilio...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MWANAUME mmoja anayejulikana kwa jina la Tungaraza Harison [31] amejiua kwa kunywa sumu baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa rafiki yake kipenzi. Tungaraza alijiua kutokana na aibu aliyoipata...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
How the false hearted prey on the hopeless romantic...very sad... LAGOS (Reuters) A Nigerian undergraduate has been sentenced to 19 years in prison for obtaining $47,000 (33,382 pounds) from...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
YouTube - Tanzanian National Song
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mdau katuma kupitia maoni katika blog ya Mjengwa (under; E bwana,tutakula wapi pasaka?) kuwa serikali ina mpango kuanzia mwakani kufuta kimyakimya shule za boarding(na hii inafanyika bila...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ndesamburo nusura avamiwe mkutanoni Mussa Juma, Moshi MBUNGE wa Jimbo la Moshi mjini, Philemon Ndesamburo juzi nusura avamiwe baada ya walinzi wa Chadema kumuwahi mwanamke mmoja aliyekuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
( ni kupitia mjengwablog Pichani ni jina la gazeti jipya la ' Kwanza Jamii' linalotarajiwa kuonekana nchini kote kuanzia Machi 31, 2009. Ni jarida la uchambuzi wa masuala yanayohusu na kuigusa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
zinaumiza sana. ukitaka kujua kuwa sehem ina maendeleo, wakazi wa pale hudumu eneo hilo kwa muda mrefu. mtoto anaweza kuzaliwa hapo na kuolea hapo. mahitaji yake anayapata hapo! hii ni tofauti kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mchungaji Pentekoste adaiwa kuuza kanisa, atimkia Zambia 2009-03-14 11:14:13 Na Thobias Mwanakatwe, Mbeya Kanisa la Pentekoste Evangelistic Church lililopo mkoani hapa limeendelea...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom