Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakati Jeshi la Polisi Makao Makuu nchini ikitoa taarifa ya kutetea hatua iliyochukua kuua waandamanaji, serikali imetoa ubani wa kiasi cha shilingi 10 millioni kwa familia mbili zilifiwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati Jeshi la Polisi Makao Makuu nchini ikitoa taarifa ya kutetea hatua iliyochukua kuua waandamanaji, serikali imetoa ubani wa kiasi cha shilingi 10 millioni kwa familia mbili zilifiwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
likuwa 2009 nilipokuwa nyumbani Songea Ruvuma. Nilikuwa nimeenda kusuka kwa waMasai, sehemu ya kusukia ilikuwa nje tu. Tena barabarani kabisa au nisema kando ya barabara. Watu wakawa wanapita...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hata kama baadhi yetu tutakataa kukubali ukweli ni wazi Jk ni rais wa kwanza katika historia ya nchi hii kuchukiwa na wananchi. Kwa upande mwingine hata yeye anaonekana hawapendi Watanzania. Ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Kukiwa na malalamiko kuwa uteuzi wa Jaji Mkuu Othman Chande haukuzingatia taratibu na heshima za mahakama yaani uhodari wa Jaji na seniority, huku pia kukiwa na madai kuwa uteuzi huo ulishinikizwa...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Wanajf naomba mnisaidie labda mimi sikuelewa vizuri nilipomsikia camissiona chagoja akiongea kwa niaba ya polisi alipoongea na waandishi wa habari tarehe 13 jan 2011. Alisema 1. Polisi inalinda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwakamata watu 11 wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi hatari wanaojihusisha na makosa mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kutumia silaha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amemkabidhi Balozi mdogo wa Kenya, Robert Mathenge, Sh milioni 2 za Tanzania, kwa ajili ya kuwezesha kusafirisha mwili wa Paul Njuguna Kaiyehe (26), kwenda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WAZIRI katika ofisi ya Rais Kuratibu Uhusiano na Jamii, Steven Wasira amemshauri Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha, Thobias Andengenye kumaliza tatizo la waandishi wa habari kupigwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
HALI ya kisiasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Iringa Mjini si shwari. Hali hiyo inatokana na kuibuka kwa kundi la baadhi ya wanachama linalompinga mbunge...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waandishi Habari wawili waliokuwa wamekamatwa nchini Uganda kutokana na kibonzo kilichochapishwa katika jarida lao wameachiliwa kwa dhamana, lakini wameamriwa kuripoti katika makao makuu ya Idara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KATIKA hali isiyo ya kawaida wafanyabiashara wengi wameonekana kuzigomea noti mpya wanazopewa na wateja wao kwa kuogopa huenda wanafanyiwa utapeli. Hali hiyo imejitokeza ndani ya wiki hii tokea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nchi inayoongoza duniani kwa kula rushwa 2010 ni nchi ya Somalia, Africa ikifuatiwa kwa karibu na nchi za Myanmar, Afganistan na Iraq. Nchi zinazoongoza kwa kutokula rushwa ni Denmark, New...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwanamke mmoja mwenye wivu sana wa nchini Marekani amefikishwa mahakamani baada ya kuzichoma moto sehemu za siri za mpenzi wake baada ya kushuku kuwa mpenzi wake huyo ana kimada nje. Victoria...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Quite Handy Information, in case you were not already aware 4 IMPORTANT Things You Never Knew Your Cell Phone Could Do For all the folks with cell phones...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WANAFUNZI 30 wa kike wanaosoma katika shule za sekondari wilayani hapa, wameshindwa kuendelea na masomo kutokana na kupata ujauzito kati ya Januari hadi Novemba mwaka jana. Akizungumza na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nchi yetu imefikia pabaya sana,ambapo wananchi tusipoamua kuchukua hatua,watu wachache wataendelea kutunyonya.Mfano suala la DOWANS,wananchi tunatwika mzigo wa kulipa deni la DOWANS,huku umeme...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi sasa nchi yetu inapitia katika kipindi kigumu; kundi dogo la watu linaonekana limefanikiwa kukiteka nyara chama tawala na serikali yake, kiasi kwamba vyombo hivyo muimu kwa uhai wa nchi yetu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkuchika na Wasira kwa nyakati tofauti wamenukuliwa na vyombo vya habari wakipumua kwamba "Wale wanaodhani Uchaguzi wa Meya wa Jiji la Arusha utarudiwa wasahau kwani uchaguzi ulishafanyika kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom