Wote mkiwaogopa wenye fwedha wataishi na nani??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Nimekutana na dada mmoja akanifurahisha sana
tulikuw a tunaongea kuhusu madada zetu walivyogeuka
ATM gafla na wengine kuwa Vibomu vya Miizinga
hakika akuacha kuwa muwazi na kusema sasa kama wengi wanawakimbia hawa wenye hela wataishi nani..tukisema kila mtu awakimbie ...ndio maana nasema kila mtu kaumbwa dunian na wake hata ukifosi king atakuja kukuacha tu na kuja kwangu

duhh...nikaogopa lakini naguna!!!!hata wewe....!!!
 
Back
Top Bottom