Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wana JF, Jana nilikuwa na Dine na rafiki yangu mmoja, binti wa Kijerumani katika mghahawa mmoja marufu ulioko maeneo ya Masaki.. Yeye, yuko hapa nchini kama Expert akiwa anafanya kazi katika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
HUENDA ikawa ni swali la jumla mno kuelekea uchaguzi na nini wapinzani wafanye. Ukiangalia historia ya uchaguzi, tangu ule wa wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 maswali mengi yanajitokeza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanajamii mnaikumbuka hii miaka hiyo yaani vitabu vile vilikuwa na mafunzo sana na maadili pia kwa tuliosoma enzi zile tujikumbushe bas kwa hadithi hii kisha tuitolee maoni Brown ashika tama...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kila mgombea nayemsikiliza anasema wananchi wameniomba nigombee niwe kiongozi wao wameniona nafaa.....mimi huu msemo hauningii kichwani hata kidogo. Nafikiri wewe kama kiongozi au unataka kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania yesterday lost its bid to sale part of its ivory stockpile by single vote. The Convention on International Trade in Endangered Species (Cites) meeting in Doha, Qatar, rejected the...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Kuna wanawake wengine bwana wameolewa lakini mambo yao tofauti utasema wenzangu na mie tunaotafuta kupiga mizinga;utakuta mwanamke kaolewa ana mume mlokole ama ametulia lakini kutwaa akirudi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
MWENYEKITI wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kitamuunga mkono Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema) endapo atagombea ubunge katika jimbo lolote mkoani humo. Sambamba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamaa anayetuhumiwa kumbaka Miss Tanzania, ambaye ni mwanamitindo Patrick Trey, hatimaye amepandishwa mahakamani mchana huu na kusomewa mashitaka yake ya ubakaji katika mahakama ya hakimu mkazi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mbunge agawa mchele, nyama kujipigia debeSalim Said MBUNGE wa Jimbo la Wawi wilayani Chake, Hamad Rashid Mohamed (CUF) ameongeza changamoto katika udhibiti wa rushwa kwenye uchaguzi baada ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAKATI wananchi wanalalamikia ubora wa betri za Tiger Head kuwa ni duni, Shirika la Viwango (TBS) limekamata shehena ya kontena 20 za betri hizo kutoka China kutokana na kutokidhi viwango...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
YADHIHIRIKA MURO ANATEMBEA NA KIFO MKONONI, ALAZIMIKA KUISHI MAFICHONI Yule Daktari aliyepigwa risasi iliyomkosa mtangazaji wa habari za uchunguzi wa Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC1)...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
DR. MANYUKI KATINGA RASMI MTANDAONI NA ANAPATIKANA KWENYE WEBSITE HII:- http://www.drmanyuki.com/services1.html NIMEIPATA WEBSITE YAKE LEO ASUBUHI MITAA YA MOROCCO NIKAONA BANGO KUBWA SANA...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Salamu wana Jf Jamani hamjamboo???????? Lipo jambo moja naomba kupata mawazo kutoka kwa wadau Hivi wengine mnawezaje kuishi kwa mshahara wa serikalini???? Unajua huwa najiuliza mara nyingi maana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nifahamishwe mwenye kujua data,walisema kuwa chuo kiki kitaamnza mwezi octoba huko bukoba,nataka kusoma ebu nijulishe usajiri unafanyika wapi na lini
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Former Miss Tanzania contestant raped THE Marketing Manager of the Dollywood and Konic Company Limited, Patrick Troy Mbasha (21), appeared before the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
NIMESUBIRI kwa muda wa kutosha kuona kama yatafanyika mabadiliko ya jina la jengo la Quality Plaza ambalo miaka kama miwili hivi lilinunuliwa na taasisi ya umma katika mikataba ambayo wengi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
BREAKING NEWS: Stephen Byers, Patricia Hewitt and Geoff Hoon suspended from Labour party Last updated at 10:52 PM on 22nd March 2010 Three former Cabinet ministers have been suspended...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF saa moja lilopita hapa kwetu tumevamiwa na Kapteni Komba akitaka mhariri wa Sema Usikike ili amtandike vibaoo kasheshe inaendelea
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Wakuu heshima kwenu. Naombeni msaada nimepata vishiringi kidogo nataka ninunue kigari changu toka south africa lkn cha japan, tayari nina jamaa huko ambaye kanipa details zote za kuweza...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom