Kwa vijana mliomaliza enzi zile naamini mnaamkumbuka kijana wetu hapo wa pili kutoka kushto..nimefurahi kuona kijana ameanza kujipenda na ameanza kula matunda ya Ridhiwan kikwete...kwa mnaomjua ni...
Duh those days nilikuwa naona kama kituo cha polisi
kabla ya kuwa kanselidi na kuwa rafiki wangu wa karibu..bado inatumika
kupima yale mambo yetu!!!ama ulikuwa mradi wa muda???
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mnajimu maarufu Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahaya Hussein, alisema
1.......Rais wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, ataongezewa...
kwa wanaoangalia TBC
Kuna mwalimu mmoja dk,wa moja ya chuo amekiri wanafunzi wengi wamekuwa wakides a ili kufaulu mitihani yao..hali ya kudesa ipo kila chuo watakachofanya ni kupunguza...
Jamani kuna watu wengine awana hata shbira wala msamaha
waanakuta gari imejaa gafula wanasubiri mlango uemefunga unasikia hewa nzito inapishana kwenye wwatu wengi basi shida tupu hewa hiyo...
Naam wapendwa,,, baada ya kalikizo kangu ka machungu nimerejea rasmi katika kijiji changu,,,, Moshi. Siku iliyofuta tu napata sms toka kwa mtu nisiyemfahamu anaomba kuniona,,, nilisita kidogo...
Bil. 90/- zatumika kuwalipa walinzi wa Kiwira
na Moses Ng?wat, Mbeya
WAFANYAKAZI wa kampuni ya ulinzi ya New Imara Security wanaolinda mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira wanalipwa malimbikizo...
WAKATI Serikali kupitia vyombo vya Dola ikipambana na dawa za kulevya nchini na kutangaza kila mara watu inaowakamata kwa tuhuma za kuhusika na dawa hizo, polisi mwenye cheo cha Konstebo wa Dar es...
When thinking of the "new breed" of celebrity - from the Kardashians to Paris Hilton to the stars of "The Hills" - fame seems to depend on the fact that they're already fabulously wealthy. Well...
Wana JF nimekuwa nikifuatilia historia ya Tanzania na hasa ya viongozi wake na nimegundua njama za makusudi zikifanyika kuipotosha.
Kwa faida ya vizazi vijavyo ni jukumu letu popote pale tulipo...
Mkijirekebisha Mtakaribishwa!
Siku moja nilikuwa nimesimama sehemu fulani nikizungumza na mwenzangu mmoja. Akapita kijana mmoja. Nilikuwa nikimfahamu siku nyingi. Alikuwa ni kijana mwenye...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewashambulia viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiwashutumu kwa kuwavalisha Watanzania fulana za kunadi sura za viongozi wake, badala ya...
Na Mbasha Asenga
SAFARI hii tumekuwa makini sana katika kufikia mkataba na Rites kuendesha TRL, hii ilikuwa ni sehemu tu ya kauli ya aliyekuwa Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge, wakati...
NINA kila sababu ya kumtukuza Mungu kwa uzima na afya, pia natoa pole kwa Watanzania kwa kuwapoteza ndugu na jamaa zao katika ajali iliyotokea Alhamisi wiki hii eneo la Kibamba, jijini Dar es...
Mchungaji Mtikila apata pigo
na Datus Boniface
MWENYEKITI wa Chama cha Kidemokrasia (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, amepata pigo baada ya Naibu Katibu Mkuu wa Wanawake wa chama hicho...
Kwa niaba ya familia nawatakia Ibada njema wale wote wenye mapenzi mema na wanaotaraji kwenda kumuabudu mungu katika roho na kweli siku ya kesho
usikubali kukaa nyumbani nenda ukamwabudu mungu...
MWANASIASA wa siku nyingi, Sir George Kahama ameungama mbele ya Rais Jakaya Kikwete, mambo matatu ambayo hakuyafanikisha wakati akiwa mtumishi wa umma na mojawapo ni ujenzi wa Makao Makuu ya Taifa...