Ibada njema wote!!

Ibada njema wote!!

sijafulia

Member
Joined
Mar 26, 2010
Posts
86
Reaction score
2
Kwa niaba ya familia nawatakia Ibada njema wale wote wenye mapenzi mema na wanaotaraji kwenda kumuabudu mungu katika roho na kweli siku ya kesho
usikubali kukaa nyumbani nenda ukamwabudu mungu kwenye madhabahu....nena na mungu wako mshukuru kwa aliokutendea mpaka sasa ,..jiulize umempa nini ukuwa kwenye hiace ya jali ya juzi kongowe...Andaa dhabihu ya kweli kuipeleka kanisani...Mungu anasikia dhabihu zetukwa kumtolea ama wanyama/ fedha...anaada SADAKA kamilifu isio na wa wala doa...ukamtolee Mungu .....msiache kukusanyika kila iitwapo leo

usiku mwema wote
 
Back
Top Bottom