Nikiwa mwaka wa kwanza chuo kikuu,niliandika makala yenye kichwa hiki,nilipowaonyesha baadhi ya rafiki zangu,walinitisha,wakanidharau,wakaniona mwehu,wakaona mtu ninayetaka kuhatarisha maisha...
Nimekutana na hii... hebu wadau toeni maoni yenu.
Nimekuwa nafuatilia jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa inavyozidi kushika kasi, ikipelekea ule wigo wa kuomba michango kupanuka...
WanaJF, Kwa vyovyote vile ni ukweli usiopingika kuwa Tansco inawacheza shere Wadanganyika kwa kuwatangazia hakuna mgao ilhali umeme kila siku unakatwa kwa zaidi ya masaa kumi mpaka kumi na mbili...
fanyakazi wa ndani raia wa Indonesia aliyekuwa akifanya kazi katika nyumba moja katika mji wa Madina nchini Saudi Arabia, amelazwa hospitali katika chumba cha watu mahututi baada ya kukatwa sehemu...
Kamanda wa polisi ametoa tangazo la kukataza mkutano wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kwa sababu zifuatazo. 1. Taarifa ya chama hicho kwa polisi imetolewa chini ya masaa 48 kwa...
Ukichunguza kwenye jamii yetu yaani ndugu, jamaa au marafiki utaona kuna maneno yanatumika sana mfano: "tushirikiane", "tusaidiane "tuwe na umoja", "tuchangiane", "tusiwe wachoyo", na mengine ya...
Vibaka wasio na utu hawakujaribu kunusuru maisha ya Abuu Semhando alipogongwa na gari, badala yake walimvua viatu na kumuibia simu na pesa zote alizokuwa nazo kwa wakati huo.
Wapenzi wa muziki wa...
NCHI ya Tanzania ni miongoni mwa mataifa ya Afrika yaliyotia saini Mkataba wa Elimu Kwa Wote (EFA) wa mwaka 1990.
Mkataba huu ulikuwa na takribani malengo sita ikiwemo kuhakikisha kuwa ifikapo...
Wadau hebu tujadili shirika la uma linaloongoza kwa ubovu. Mimi ninaona shirika linaloongoza ni TANESCO. Shirika hili achilia umuhimu wake kwa taifa limekuwa likitoa huduma mbaya miaka nenda miaka...
Watoto watatu wa familia moja katika Kitongoji cha Ikanamalenge, Kijiji cha Muhanga, Tarafa ya Itigi, Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, wamefariki dunia baada ya nyumba walimokuwa wakiishi...
:A S clock:
YouTube - Delia Knox Walking- Bay of the Holy Spirit Revival
Woman paralysed for 23 years stands and walks after she's 'cured by British spiritual healer'
Last updated at 1:59 PM on...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya udaktari duniani, daktari mmoja nchini India ameweza kuzizuia hisia zake kwa kuitumbua na kuvichanganua viungo vya maiti ya baba yake wakati akiwafundisha...
Wajameni naomba kuipongeza Mbeya Region (Municipal) na Arusha Council kwa kuona umuhimu wa egovernance
Na napenda kuuliza kwa nini municipals kama Moshi, council kama za Mwanza na kwingineko...
Mwizi wa nchini Japan ambaye kutokana na kufanya wizi kwa mwaka alikuwa akijiingizia kiasi cha pesa sawa na Tsh. Milioni 540 ametoa kitabu cha kuelezea jinsi ya kuiba kwenye majumba ya watu bila...
MKURUGENZI wa zamani wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba, ataendelea kutumikia kifungo cha miaka miwili jela kama alivyohukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Mwanaume mmoja wa nchini Kongo ambaye alikuwa na matatizo ya mtindio wa ubongo, amembaka mama yake na kisha kumuua.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi iliyotolewa katika mji wa Kasai, Jamhuri ya...
Katika kesi ya tatu ya kuteswa kwa wafanyakazi wa ndani katika nchi za kiarabu, mfanyakazi wa ndani nchini Jordan anapatiwa matibabu baada ya kulazimishwa kumeza misumari sita na bosi wake.
Ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.