Mvumilivu hula mbivu;mjue msaidizi wa ridhwan kikwete udsm anaekula kuku sasa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mvumilivu hula mbivu;mjue msaidizi wa ridhwan kikwete udsm anaekula kuku sasa!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Mar 28, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,627
  Likes Received: 5,788
  Trophy Points: 280
  Kwa vijana mliomaliza enzi zile naamini mnaamkumbuka kijana wetu hapo wa pili kutoka kushto..nimefurahi kuona kijana ameanza kujipenda na ameanza kula matunda ya Ridhiwan kikwete...kwa mnaomjua ni yule kijaana wetu aliekuwa akimbebea madaftari mizigo ...ridhiwan akiwa law..hamada watu wakawa wanapiga kelele sana lakini nimempenda kijana ana taget zake na kweli naona ameanza kufanikiwa ..keeep it up br..naona BEN MALISA NAE anautumia vizuri ile COMPANY YENU KUMBUKEN NA WENGINE BASI KWENYE VIJIFALME VYENU...hata uko ulipo br usimsikilize mtu nahisi umeamini kellele za watanzania azisaidii kama una malengo yako

  Big up
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,627
  Likes Received: 5,788
  Trophy Points: 280
  michuzi akiwa na vijana wa kazi
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  mbona hakuna picha?
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,627
  Likes Received: 5,788
  Trophy Points: 280
  aikuingia nimeituma tena hiyo akiwa na michuzi
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  asante ila bahati mbaya simfahamu, kama ungetujulisha ni nani na anafanya nini ungekuwa umeikamilisha hii habari yako
   
 6. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2010
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Naona kama hii inafaa iende kwenye UDAKU au hari mchanganyiko vile...
   
 7. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  duh, haya tutafika lakini
   
 8. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wala siyo habari hii, labda udaku flani....
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ujinga mtupu..alikuwa anambebea madaftari maana yake nini?mambo ya kwenye kitchen party haya....
   
 10. mtaratibuuuuuu

  mtaratibuuuuuu Member

  #10
  Mar 28, 2010
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ".........KUMBUKEN NA WENGINE BASI KWENYE VIJIFALME VYENU..." Duh, kama huu ndio ushuri kwaaaaakweli kubebana hakutoisha ng'o, labda tutolewe damu tulizonazo na tuwekewe nyingine..
   
 11. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Bila hata kufahamu mahusiano yao yalikuwa ya aina gani, mpe ushauri wa Bure.

  Ni vibaya kudhani kwamba ukijishusha na kujiona nusu ya mtu mwingine, baadaye ikakupa feva na ukapanda, inaweza ikawa ni tabia yako ya kudumu. Ukawa hujiamini au ni mtu wa 'kujikomba' bila sababu.

  Waliolegea ndo tunaosikia wakifanyiwa vitendo vya ajabu na tunabaki tukijiuliza ni tabia kutoka wapi ktk maisha yao.
   
Loading...