Angaza bado ipo jamani??

Angaza bado ipo jamani??

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,675
Reaction score
37,856
Duh those days nilikuwa naona kama kituo cha polisi
kabla ya kuwa kanselidi na kuwa rafiki wangu wa karibu..bado inatumika
kupima yale mambo yetu!!!ama ulikuwa mradi wa muda???
 
bado ipo, na inaendeleza libeneke kama kawa...ila hapazoeleki pale mahali jamani...
 
bado ipo, na inaendeleza libeneke kama kawa...ila hapazoeleki pale mahali jamani...

mi nakuogopaga kama ukoma aliosema nyerere
sijui wamemwaga upupu????sie tunajipima na dawa za mitishamba shwari ikiwepo vitu vinafyatuka vikiwa kimya baada ya kula miti yrt ujue uko fiti...
 
Back
Top Bottom