Bil. 90/- zatumika kuwalipa walinzi wa Kiwira;I LUV U B.W.MKAPA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bil. 90/- zatumika kuwalipa walinzi wa Kiwira;I LUV U B.W.MKAPA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sijafulia, Mar 27, 2010.

 1. s

  sijafulia Member

  #1
  Mar 27, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bil. 90/- zatumika kuwalipa walinzi wa Kiwira


  na Moses Ng?wat, Mbeya


  WAFANYAKAZI wa kampuni ya ulinzi ya New Imara Security wanaolinda mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira wanalipwa malimbikizo ya mishahara ya miezi 19.
  Malipo yamefanywa na serikali kwa kile kinachodaiwa kuwa ni shinikizo la walinzi hao waliotishia kugoma kuendelea na kazi hadi hapo watakapolipwa mishahara ya miezi 19 ambayo walikuwa wakimdai mwajiri wao.
  Mkurugenzi wa New Imara Securty, Essau Kamwela, alisema walichowalipa walinzi hao ni sehemu ndogo ya malimbikizo ya wafanyakazi hao kwa sababu serikali imeshindwa kulipa kiasi kilichotakiwa.
  Wakizungumza na gazeti hili mgodini hapo wafanyakazi hao walisema wameamua kupokea kiasi hicho kidogo kwa kuwa wanakabiliwa na hali ngumu ya maisha.
  Walisema hata hivyo malipo ya mishahara yao inakinzana na waraka wa serikali juu ya ajira wa kutaka wafanyakazi wa migodini walipwe shilingi 450,000 ambapo wamekuwa wakilipwa chini ya hapo.
  “Mgodi huu ambao ni kati ya rasilimali za taifa, wafanyakazi wa sekta hii ya ulinzi wasipolipwa vizuri hali inaweza ikawa mbaya zaidi mgodini hapa, kwa kutambua umuhimu wa watumishi hawa,” alisema mmoja wa wafanyakazi hao. Hii ni mara ya pili kwa serikali kuwalipa wafanyakazi wa mgodi huo ambapo mwaka jana iliwalipa zaidi ya wafanyakazi 500 waliokuwa wakiudai uongozi wa mgodi huo.


  [​IMG]


  juu[​IMG]
   
 2. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  umekuja na kasi sana wewe, we si mgeni, ni mwenyeji umebadili id tu........... hahah........... ulipigwa ban nini ndugu............. take care.................
   
 3. s

  sijafulia Member

  #3
  Mar 27, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  hivi mna speed zenu za ktuma thread ama kuandika
  ama kuna mashindano ya kuweka thread humu!!!!
  Ndugu siko kwenye mawazo yako na ban unayosema mbona aina tatizo kuacha kuleta mawazo humu ndani..
  We inakuchoma eehh ???pole sana.......sijui nikupe wimbo gani wa taarabu ukutulize moyo wako!!!wapi wameandika idadi ya kutoa mawazo...najua tatizo si lako ni la...@#%^&))(
  umesameehewa
   
 4. s

  sijafulia Member

  #4
  Mar 27, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ngoja nikusaidie ndug tatizo lako ama nikuonavyo una tatizo la kukimbilia na kujibu kila thread utakayoona ,...hii ni dhambi ya ulafi...ukiona kitu akikuuhusu ama akikusaidiiiii legeza vidole vyako kwenye keyboard...suikmbilie kila ukianacho ....

  """SIO KILA CHEUPE NI MAZIWA NA SIO KILA CHEUSI MKAA"""!!!!!
  aaaaa kumbe unatoka kule kwa mama md$%%%%
   
 5. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  duh, mchungaji umenimaliza kabisa, kume na yale mambo ya mipasho aka masuala ya vidole juu na wewe umo?......... nimeamini kweli hujafulia............... hahaha....... halafu tukuletee ndoa zetu eti uziponye........... si bora tumpelekee mzee yusuph kabisa??........ pole.............. vipi maumivu ya ban mkuu................. tumeishakushtukia, badili tena id.............. hahah.................
   
 6. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mambo hayo! waswahili kwakushushuana sio mchezo mko juu! keep it up tutafika tu kwa wazungu.
   
Loading...