Aliyoyatabili Sheikh Yahaya Jana 25/03 Haya hapa

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2008
2,268
333
[FONT=ArialMT, sans-serif] [/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mnajimu maarufu Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahaya Hussein, alisema[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]
1......
.Rais wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, ataongezewa muda wa kuendelea na wadhifa huo.

2.......
[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]Mchuano wa kugombea urais wa Zanzibar utakuwa na ushindani mkubwa kuliko miaka iliyopita.

3.......
[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]Robo tatu ya wabunge walioko madarakani wataanguka na sura mpya zitakayoongezeka zitakuwa ni za wanawake.

4......
[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]Hakutakuwa na uchaguzi mkuu kwa mwaka huu wala mpasuko ndani ya CCM.

5......
[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta, ataendelea kushika wadhifa huo kwa kuwa nyota yake inang'aa vizuri.

6......
[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]Viongozi wenye tuhuma kama Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, hawatang'aa kisiasa hadi mwaka 2015.

7......
[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]Kutatokea harusi za viongozi pamoja na vifo vya watu maarufu, matatizo ya kifedha na kiuchumi, kulipuka kwa volcano, ukame na matetemeko ya ardhi.

8.....
[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif](CCJ) kimetabiriwa kuwa hakitaweza kukibomoa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na kitendo cha viongozi wake wa muda kwenda kulilia kwenye kaburi la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, na kwamba sababu nyingine ya kukikwamisha ni jina walilolichagua.[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]CCJ kingetumia jina la CCN.

[/FONT]
CHANZO: NIPASHE
 
[FONT=ArialMT, sans-serif]Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mnajimu maarufu Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahaya Hussein, alisema[/FONT]

[FONT=ArialMT, sans-serif]1.......Rais wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, ataongezewa muda wa kuendelea na wadhifa huo.[/FONT]

[FONT=ArialMT, sans-serif]2.......[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]Mchuano wa kugombea urais wa Zanzibar utakuwa na ushindani mkubwa kuliko miaka iliyopita.[/FONT]

[FONT=ArialMT, sans-serif]3.......[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]Robo tatu ya wabunge walioko madarakani wataanguka na sura mpya zitakayoongezeka zitakuwa ni za wanawake.[/FONT]

[FONT=ArialMT, sans-serif]4......[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]Hakutakuwa na uchaguzi mkuu kwa mwaka huu wala mpasuko ndani ya CCM.[/FONT]

[FONT=ArialMT, sans-serif]5......[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta, ataendelea kushika wadhifa huo kwa kuwa nyota yake inang'aa vizuri.[/FONT]

[FONT=ArialMT, sans-serif]6......[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]Viongozi wenye tuhuma kama Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, hawatang'aa kisiasa hadi mwaka 2015.[/FONT]

[FONT=ArialMT, sans-serif]7......[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]Kutatokea harusi za viongozi pamoja na vifo vya watu maarufu, matatizo ya kifedha na kiuchumi, kulipuka kwa volcano, ukame na matetemeko ya ardhi.[/FONT]

[FONT=ArialMT, sans-serif]8.....[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif](CCJ) kimetabiriwa kuwa hakitaweza kukibomoa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na kitendo cha viongozi wake wa muda kwenda kulilia kwenye kaburi la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, na kwamba sababu nyingine ya kukikwamisha ni jina walilolichagua.[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]CCJ kingetumia jina la CCN.[/FONT]

CHANZO: NIPASHE

Umesahau lingine,watakao gombea Urais pamoja na JK watafariki dunia
 
[FONT=ArialMT, sans-serif]

6......
[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]Viongozi wenye tuhuma kama Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, hawatang'aa kisiasa hadi mwaka 2015.[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]

[/FONT]
CHANZO: NIPASHE
Duh hiyo namba 6 ina maana anamtabilia Edward Lowassa kung'ara 2015,ina maana tayari kugombea urais?
 
sasa kama harusi ya asha kigoda na seif khatibu kila mtu anajua vifo vya wakubwa tumeshazoea hakuna jipya hapa
 
1.......Rais wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, ataongezewa muda wa kuendelea na wadhifa huo.

Hii imekaaje tena banandugu?
Hivi kukataa kwake hadharani bado hakujaingia kwenye vitabu vya historia?
Atabatilisha vipi tena kauli zake hadi aeleweke?
Au ndo zile za WAZEE WAMENIFUATA NA KUNIOMBA!:D
 
Pia ametabiri kuwa kesho asubuhi mkiamka, asilimia 60 ya waTanzania watapiga mswaki.
 
mungu ndio anajua....yote lakini dola isitumike zanzibar kama cuf watachukua nchi ya zanzibar
 
4......[/SIZE][/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]Hakutakuwa na uchaguzi mkuu kwa mwaka huu wala mpasuko ndani ya CCM.


-Hii naisubiri kwa hamu sana,ikikubali naona atapata wateja wengi sana. Nami itabidi niende kwake nikajifunze unajimu. Mambo ya shehe hayo!


7......
[/FONT][FONT=ArialMT, sans-serif]Kutatokea harusi za viongozi pamoja na vifo vya watu maarufu, matatizo ya kifedha na kiuchumi, kulipuka kwa volcano, ukame na matetemeko ya ardhi.


-Ndoa ni jambo la kawaida hilo. Viongozi wengi ni makapela,kuoa si ajabu wanaweza kuoa.
 
Hivi kwa nini munayapa uzito usiostahiki hayo maneno ya Sheikh Yahya? Kila mtu anajua vya kujitafutia riziki na hiyo ndiyo mbinu mojawapo. Wengine wanajiita waganga wa kienyeji wananenepesha vifaa gani sijui, wengine watabiri, wengine matapeli ..........

Sasa huyu mjamaa vyombo vya habari (magazeti, radio) vinamkuza bila ya kiasi, na kula yake inaongezeka kilaini.........
 
Huyu mzee utimamu umeisha sasa mimi naweza kutabiri hayo yote aliyosemwa hapo mwizi tu huyu
 
Huu daima ni upuzi na ni mambo ya majini na kishirikina. Hayana maana wala ukweli wowote.
Anachezea akili za watu wavivu wakufikiri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom