Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwili wa kijana mmoja ambae hajafahamika umekutwa chini ya lift katika jengo la Posta House. Muda mchache uliopita wafanyakazi wa city wameweza kuutoa mwili huo ambao tayari ulishaanza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jaribuni bahati zenu Mondi - Home Austrian Student Scholarship Mondi, Austria What we offer: Scholarships are awarded for basic university programs (university degree, bachelor programs)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF Nimekuwa nikisafiri na boat za Abiria Dar/ZNZ, utaratibu unaotumika katika kupakia na kushusha mizigo ya abiria si SHWARI. Katika bandari zote mbili (DAR na ZNZ) kuna wachukuzi ambao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Accusations against Assange raise suspicion of political hand Monday, 20 December...
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Leo nimeangalia kwenye taarifa ya habari channel ten kuwa kanisa la Mch. Rwakatare wanataka kuanzisha Television yao itakayoitwa Ebenezer Tv. Naona kila kanisa liko ize kuanzisha Tv kila kukicha...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Hatimaye kile ambacho hakiaminiki kule Serengeti ni kua kati ya wale Faru watano tuliokabiziwa kutoka Afrika ya kusini Faru mmoja ameuwawa kule katika hifadhi ya wanyama mbuga ya Serengeti. Faru...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KAMA KUNA SIKU NIMESHUHUDIA MADUDU YA WAANDAAJI WA BSS BASI NI JANA YAANI HAWAKUWA REALISTIC KABISA WALISHINDWA HATA KUDHIBITI NDIMI ZAO. TUMEZOA KUMUOANA MAADAM SALIMA AKICHEMKA KUPITA WOTE...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Kampuni ya simu za mkononi ya tiGO ambayo imejizolea wateja wengi kuanzia mwaka 2005 baada ya kuanza kushusha garama za kupiga simu iko katika hali mbaya na huenda muda wowote ikafa na kuacha...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Soma kwa hii link gongahapa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
GrEaT tHinkErs, Naomba tuzungukie majiji ya Afrika mashariki na tutuoe sifa kwa kila Jiji nimeyaorodhesha hapa chini. Tanzania DAR ES SALAAM MWANZA TANGA MBEYA ARUSHA kenya NAIROBI MOMBASA...
0 Reactions
29 Replies
25K Views
Wandugu, Naomba ufafanuzi wa jambo hili, je wabunge wa JMT hawana kinga ki sheria inapotokea kutoelewana na vyombo vya serikali na dola wakati wa kutimiza majukumu yao? yametokea juzi tu mbunge...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF, Jana nilihudhuria tafrija ya uzinduzi wa Mfuko wa maendeleo ya watu wa Arusha(Arusha Development Foundation) kwa Ajiri ya kusomesha watoto waliopatwa na matatizo ya kujiunga kidato cha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Polisi Moshi katika kashfa ya ujambazi Send to a friend Sunday, 19 December 2010 20:25 0diggsdigg Daniel Mjema, Moshi POLISI wa kikosi cha pikipiki mkoani Kilimanjaro ni mshiriki mkuu wa tukio...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Monday December 20, 2010 Columnist...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kampuni ya simu za mkononi ya tiGO ambayo imejizolea wateja wengi kuanzia mwaka 2005 baada ya kuanza kushusha garama za kupiga simu iko katika hali mbaya na huenda muda wowote ikafa na kuacha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Gwynne Dyer ALL the foreigners and about half the Ivorians agree that Alassane Ouattara won last month’s presidential election in Ivory Coast – but not the southerners, who say that it was...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Jamani watanzania wenzangu labda mnisadie kunifahamisha hili huenda ufahamu wangu ni mdogo. Mfano mdogo tu, serikali ya Mkapa ilijitahidi kugawa magari ya wagonjwa ktk kila zahanati za tarafa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
"Siku zile amri ilitoka kwa kaisari Augusto kwamba iandikwe orodha ya watu wote wa ulimwengu" LUKA 2:1, Hii ina maana kila mtu alipaswa kurudi uyahudi kuhesabiwa.Yusufu na Maria nao wakatoka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mzee wangu simuelewi kabisaaaaa. Mwaka wa 4 huu amekuwa akinisisitiza nitafute mwanamke mwenye sifa zifuatazo :- - Awe na elimu isiyopungua form six, na kama ana six awe na mpango wa kusoma zaid...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Wabongo wanaendesha Toyota Kama vile wanadrve hummer...wanavuta sigara kama vile cigar...wanatembea kama vile ardhi ina moto...kazi kweli kweli
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom