Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Total lunar eclipse coincides with Winter Solstice for first time in almost 400 years Last updated at 7:17 PM on 20th December 2010 A total lunar eclipse is set to the turn the sky a deep...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani mi naomba tu kukumbushwa maana sio kila kitu unaweza kukijua. Miaka ya nyuma niliwahi kusikia kuwa kuna muda maalumu wa matumizi ya magari ya serikali na umma. Sheria hii ilikuwa kali...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Umeme imekuwa ni bidhaa ambayo gharama zake zimekuwa zikipanda kila mara na yote yanafanywa ili kumbebesha mwananchi wa kawaida kulipia gharama za maamuzi mabovu ya viongozi na serikali ya CCM...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
20 December 2010 Last updated at 16:01 ET Share this page Facebook Twitter Share Email Print BAE Systems faces fine for Tanzania accounting offence By Martin Shankleman Employment...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimepata habari kutoka kwa rafiki anaefanya kazi ya bima kuwa uchunguzi umeonyesha moto ulioteketeza Paradise resort-Bagamoyo ulianzishwa kwa makusudi kwa maagizo ya mmiliki ili alipwe Bima na...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Nyerere na serikali yake walituongoza kwa uadilifu na kutufundisha Elimu ya ujamaa na kujitegemea lakini inaelekea katika masomo yao haya walishindwa kabisa! Kwa nini wana taaluma wetu...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na EWURA ni kwamba wamewakubalia Tanesco kupandisha gharama za matumizi ya umeme kwa 18.5%. Hebu tujiulize je kutabadilika nini? Wameshawahi kupandisha gharama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
UTATA wa uchaguzi wa umeya jijini Arusha umechukua sura mpya mara baada ya naibu meya aliyechaguliwa juzi ambaye pia ni diwani wa TLP katika kata ya Sokoni jijini Arusha, Michael Kivuyo kuibuka na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya CCM kufanya uchaguzi wa kibabe wa meya na naibu wake Arusha ambao ulilaaniwa na kupingwa na watu wengi leo madiwani wa chama cha CHADEMA Arusha watakutana na kuchagua meya na naibu wake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mara nyingi sana tarehe ya mwisho wa kutumika kwa bidhaa za chakula na vinywaji inaangaliwa sana na imekuwa printed. Sasa hivi jana alikuja mzungu mmoja kununua vocha ya simu ya Airtel, yeye cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu kila siku nikiingia jamvini nakutana na heading za kuchefua sana.. hasa za kisiasa yani kama huna roho ngumu unaweza hata kupasua keyboard ya laptop yako au compyuta kwa hasira.. ndio...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
I didn't think of Iraqis as humans,' says U.S. soldier who raped 14-year-old girl before killing her and her family last updated at 5:04 PM on 20th December 2010 Steven Dale launches...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
umeme kupanda kwa asilimia18 kwa ghafla hivi inamaana ndiyo wanatukamua fedha za kuwalipa mafisadi through dowan
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ama kweli tukifanikiwa kuwa na akina sitta 50, akina slaa 10, akina magufuli 70, akina mwakyembe 80, na vyama makini km chadema viwili tu....taifa litakuwa limekombolewa...................lakini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WAZIRI wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta jana alitoa kauli nyingine inayoweza kukitikisa chama chake cha CCM baada ya kueleza kuwa aliondolewa kwenye kinyang'anyiro cha kiti cha spika wa Bunge la...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
BONDIA Emillian Patrick aliyekamatwa nchini Mauritius Juni, 2008 kwa tuhuma za kuingiza dawa ya kulevya aina ya heroin zenye thamani ya shilingi milioni 600 amerejea nchini kuungana na familia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nasema hivyo kwa sababu hivi karibuni waziri wa nishati Willium Ngeleja alitutangazia watanzania kuwa mgawo wa umeme umeisha nchi nzima labda pale tu penye tatizo la kiufundi. Lakini bado...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
FARU mmoja kati ya watano waliopokewa na Rais Jakaya Kikwete kutoka nchini Afrika Kusini na kuingizwa kwenye mbuga ya wanyama ya Sengereti, ameuawa na majangili ambao wametoweka na pembe zake...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwili wa kijana mmoja ambae hajafahamika umekutwa chini ya lift katika jengo la Posta House. Muda mchache uliopita wafanyakazi wa city wameweza kuutoa mwili huo ambao tayari ulishaanza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jaribuni bahati zenu Mondi - Home Austrian Student Scholarship Mondi, Austria What we offer: Scholarships are awarded for basic university programs (university degree, bachelor programs)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom