On July 29th, returning from a trip to Europe, Jacob Appelbaum, a lanky, unassuming 27-year-old wearing a black T-shirt with the slogan "Be the trouble you want to see in the world," was...
:drum:
Dr Edward Hoseah ni nani?
waja JF hebu nusaidieni. nimesoma na kusikia mambo mengi kuhusu Dr Hoseah ila sijapa wasifu wake mpaka sasa. Nisaidieni kupata cv yake na nguzo hasa...
ZAIDI ya raia 46 wa Somalia, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi katika Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa tuhuma za kuishi nchini bila ya kuwa na vibali.
Kamanda wa Kanda hiyo, Suleiman Kova...
Manispaa ya kinondoni ndio inayoongoza kwa wizi,ubadhirifu,kutokuwajibika,miradi isiyo tekelezeka mfano: ujenzi wa daraja la makongo juu (jirani na msitu wa jeshi) kuunganisha na maeneo ya Goba...
Habari zilizotofikia punde zinasema mod yuko mbion kutoa misamaha ya ban kwa wale wotewaliopindisha sheria kwa mwaka 2010 na hii ikifwatana na onyo kali kuingia 2011Pamoja na hayo naomba...
27th December 2010
B-pepe
Chapa
Maoni
Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige.
Wauza mkaa katika eneo la kijiji cha Chekeleni, wilayani Korogwe mkoani Tanga, walivamia gari la Waziri...
Serikali imeingia ubia na Kampuni ya East Africa Power Pool wa kuzalisha umeme wa upepo mkoani Singida utakaogharimu zaidi ya Sh. Bilioni 180.
Akizungumza mjini hapa juzi, Naibu Wazir wa Viwanda...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limezuia maandamano ya Chama cha Wananchi (CUF) yaliyoandaliwa kufanyika leo kwa lengo la kuwasilisha kwa Waziri wa Katiba na Sheria, Celina Kombani...
Mahabusu zaidi ya 20 wa kesi za mauaji na unyanganyi wa kutumia silaha mkoani Ruvuma, wamegoma kuingia kwenye gari la polisi wakidai kesi zao zimekuwa zikichukua muda mrefu na kuahirishwa mara...
MKAZI wa Vingunguti, Rajab Paulo (35) aliyekuwa akishitakiwa kwa kosa la kuendesha gari kwa uzembe, amefutiwa mashitaka hayo na kufunguliwa shitaka la kumuua mkewe katika Mahakama ya Wilaya ya...
MWANAMKE mkazi wa Mtaa wa Maili 18 eneo la Mkundi, Kata ya Lukombe katika Manispaa ya Morogoro, Bahati Emmanuel (28), ameibiwa mwanawe mchanga wa kike na msichana asiyemfahamu vyema katika...
MKAZI wa Kijiji cha Iyula wilayani Mbozi mkoani Mbeya, Padri Msyalika (50), anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kumuua mkewe kwa kumpiga na kitu butu kichwani
kisha kuutupa...
WANANCHI wa Kijiji cha Nyamililo katika Kata ya Kasungamile Tarafa ya Katunguru wilayani Sengerema mkoani Mwanza, wamekamata bunduki moja aina ya SMG pamoja na risasi 20,
baada ya kupambana na...
Inaboa sana kila ukiingia kwenye web hii wana Jf mnajadili udini, NAJUTAA HATA KWA NINI NILIJIUNGA. Badilikeni na muanze kutafakari jinsi ya kuikwamua Tanzania kutoka kwenye umaskini uliotukuka.
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wametishia kugoma kuingia darasani, wakati wowote ili kuishinikiza Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Nchini (HESLB), kuwapatia mikopo.
UDSM...
HATIMAYE sakata la walimu 12 wa Shule ya Msingi Chindi iliyoko wilayani Mbozi kuacha kazi kwa madai ya hofu ya kufanyiwa ushirikina limechukua sura mpya, baada ya mkuu wa wilaya hiyo, Gabriel...
MTENDAJI wa kijiji cha Nyamililo wilayani Sengerema mkoani Mwanza, Charles Lushibika (48), na wenzake watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisikwa tuhuma za kishirikina na majambazi.
Akizungumza...
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu (HESLB) imesema haitoongeza kiwango cha mikopo hata wanafunzi wakiandamana kwenye ofisi zake.
Msemaji wa bodi hiyo, Veneranda Malima, alisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.