Master j jana kachemka vibaya bss | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Master j jana kachemka vibaya bss

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by wagagagigikoko, Dec 18, 2010.

 1. wagagagigikoko

  wagagagigikoko Senior Member

  #1
  Dec 18, 2010
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KAMA KUNA SIKU NIMESHUHUDIA MADUDU YA WAANDAAJI WA BSS BASI NI JANA YAANI HAWAKUWA REALISTIC KABISA WALISHINDWA HATA KUDHIBITI NDIMI ZAO. TUMEZOA KUMUOANA MAADAM SALIMA AKICHEMKA KUPITA WOTE LAKINI JANA MUUH ALIYECHEMKA ZAIDI NI MR J, KWA KWELI JANA ALIONESHA UJINGA WAKE WOTE NA UKOSEFU MKUBWA WA ADABU NA UFAHAMU. MFANO, AKIWA KAMA JAJI TUYEDHANI ANGEKUWA NA UVUMILIVU KWA AUDIENCE YEYE ALISHINDWA KUVUMILIA MAPENZI YA MASHABIKI NA KUISHIA KUANZA KUWATUKANA ETI MASHABIKI WASHAMBA KISA TU WANAMKUBALI PYEN (MSHIRIKI MZUNGU). KWA KWELI NIMEMZARAU SANA MR J, HAWEZI KUAMINI NA KUSHIMU CHAGUO LA WENGINE KISA TU HAWakubaliani ni anachopenda yeye. NASHIWISHIKA KUAMINI KUWA HATA MATOKEO YALIPANGWA NA KAMA SI NGUVU YA MASHABIKI MZUNGU WA WATU ANGETOKA KAPA YAANI KAMA UCHAKACHUAJI WA CCM NA UMEYA ARUSHA
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Dec 18, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nishasema bongo kila kitu bush-league....si burudani, si sheria, si uganga, si uhandisi.....you name it and it's bush-league
   
 3. N

  Nightangale JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2010
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  binafsi nilihisi hawakuwa 'sober'. aidha walilewa kilevi au excitement
   
 4. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,828
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Ndio bongo bana ukipata nafasi ya kuongea, utaongea hata yasiyoongewa,
   
 5. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Pheeewwww waandaji BSS!!!
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Dec 18, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Walikuwa wamelewa!!
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kwanza mie nashangaa Mashindano yalisha prove failure toka yanaanza sasa sijui hata hao wanaoyakuza nadhani na wao wana matatizo
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nani alishinda wakuu jamani? sijafatilia haya maujinga
   
 9. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  kazi ipo hivi hamjui mashindano yoyote majaji wanachagua wapendae!
   
 10. The Planner

  The Planner JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Nadhani kuna tatizo la kutoheshimu kazi., ukiona mtu analewa kazini maana yake haishemu hiyo kazi na hataki maendeleo, Mwl. Jk aliwahi kusema "Kazi ndiyo msingi wa maendeleo"
   
 11. kyangara

  kyangara Member

  #11
  Dec 19, 2010
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hata huyo anayejiita Chief Judge'MADAM RITHA' alikuwa amelewa,
   
 12. leseiyo

  leseiyo Senior Member

  #12
  Dec 19, 2010
  Joined: Oct 25, 2007
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni bahati mbaya kama judges wanalewa katika shindano kama hilo la kitaifa.Nadhani kuna haja ya kuwa makini sana.Waziri Dkt.Nchimbi si alikuwepo pia?
   
 13. Sir John

  Sir John Senior Member

  #13
  Dec 19, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  walitaka iwe X-Factor ya bongo washindane na ITV_UK?bado sanaa
   
 14. Sir John

  Sir John Senior Member

  #14
  Dec 19, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wlitaka iwe kama X-Factor ya Uk?bado sanaa
  Madam mwuulizie mtu anaitwa Simon Cowel akupe ujanja
   
 15. N

  Ntambaswala JF-Expert Member

  #15
  Dec 19, 2010
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Majaji wote watatu; Ritha, Salama, na Master J ni watu waliopinda unategemea nini?
   
 16. r

  rmambya Member

  #16
  Dec 19, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  Anaitwa MARIAM mwimbaji wa taarabu.
   
 17. r

  rmambya Member

  #17
  Dec 19, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
   
 18. r

  rmambya Member

  #18
  Dec 19, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ukiwa na studio tu ni rahisi kuupata ujaji bss.
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Dec 19, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Ndio maana yake...............nawe fungua yako!!
   
 20. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #20
  Dec 19, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hao wafadhili wao waweke masharti ya vigezo vya ujaji. Wametia aibu nje na ndani ya nchi. Pamoja wanajivunia Peter Msechu lakini nadhani Msechu katoka kwa nguvu zake mwenyewe na mafunzo ya kitaalamu ya academy ya tusker
   
Loading...