Jiji bora afrika mashariki. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jiji bora afrika mashariki.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by spencer, Dec 16, 2010.

 1. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  GrEaT tHinkErs,
  Naomba tuzungukie majiji ya Afrika mashariki na tutuoe sifa kwa kila Jiji nimeyaorodhesha hapa chini.
  Tanzania
  • DAR ES SALAAM
  • MWANZA
  • TANGA
  • MBEYA
  • ARUSHA
  kenya
  • NAIROBI
  • MOMBASA
  • KISUMU
  • NAKURU
  Uganda
  • KAMPALA
  • JINJA
  • ENTEBE
  Rwanda
  • KIGALI
  Burundi
  • BUJUMBURA
   
 2. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Karibuni,
  zungumzia kwa nini jiji hilo kwako ni bora
   
 3. v

  vicenttemu Member

  #3
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ungefanya Africa nzima. Hayo ni machache na kwa kuwa ni nchi maskini, almost yote yanalingana kiubora! Vilevile wengi hawajafika hayo majiji! Pouwa.
   
 4. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mwanza ndio jiji bora Afrika mashariki sababu;

  1. Kuna hewa safi na hakuna uchafuzi mkubwa wa mazingira kama miji mingine ya A. mashariki
  2. Miundo mbinu imekwenda na wakati hasa mfumo wa Maji safi na maji taka,
  3. hakuna tatizo la usafirishaji, iwe ni kwa njia ya Maji, Anga, Reli, na Nchi kavu
  4. hakuna msongamano mkubwa wa watu na magari kama ilivyo mf. Dar es salaam.
  5.Huduma za jamii zinapatikana kwa urahisi, kwa upande wa afya, kuna Hospitali kama Bugando n.k, katika hospitali hii kuna wataalamu waliobobea katika masuala ya upasuaji moyo. n.k
  6. Huduma za zimamoto zinapatikana vya kutosha.
  7.Mwanza ni sehemu ambayo watu wa A. mashariki hukutana na kufanya biashara, Uvuvi, madini n.k
  8.Usafiri wa maji unaunganisha karibu nchi zote za A. mashariki
  9.Mwanza kuna sehemu nyingi za kutalii na kutembelea, kuna kumbi za kutosha za starehe
  10. Mandhari ya jiji hili ni nzuri, kuna bustani za wazi kwa ajili ya wakazi pamoja na sehemu unazoweza kujumuika na familia yako.
  11. Samaki ni wengi na wenye bei nafuu,
  12. wakazi wa Mwanza ni wachapakazi na wakarimu.


  Ushauri wa bure; Ningependekeza Mwanza iwe makao makuu ya Afrika mashariki kabisa badala ya jiji bora tu.
   
 5. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ifakara
   
 6. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145

  Shomari wewe ni meya wa Jiji la Mwanza nini? Nafikiri ungetoa comparative analysis ndo ingekuwa safi, kuliko kuelezea Jiji moja tu (pengine maisha yako yote upo hapo hapo Mwanza tu) kwa hiyo kila kilichopo hapo ndo 'best practice' kwako!!

  Comparative analysis ndo ingetusaidia zaidi kuamua Jiji lipi ni bora kuliko majiji mengine na kwa vigezo vipi!
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Dec 17, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Umechukua maneno kutoka mdomoni mwangu!
   
 8. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #8
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mie napenda Arusha ..ajili nikusafi sana....
   
 9. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #9
  Dec 17, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280

  Jiji bora kwa vigezo vipi? Umasikini, uchafu, ghorofa, slums, miundo mbinu, ustaarabu, au nini? Kama unaongelea Wizi Tanzania tayari tuna rais Mwizi kuna swala jingine?
   
 10. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2010
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Shomari Mkuu,
  Tembea uone... haa eti mwanza. what is there bana?

  I think Nairobi is the best of all mentioned above coz i hve been almost 80% of the list.
   
 11. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Ila Usiku ni balaa...

  [​IMG]

  Ila wakaazi wa huko hawajui sehemu ya kutupa taka zao.....

  [​IMG]

  [​IMG]
  Kweli kabisa, kwani kuna hata teksi za baiskeli...
  [​IMG]
   
 12. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #12
  Dec 17, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Fishing+village7.jpg 300px-Mwanza.JPG afr10601%20Mwanza.jpg 286444415sRhGHd_fs.jpg 290420386_d8d15c5c64_o.jpg Leiolepis_ngovantrii_crop.jpg DSC00320.JPG Rock+City+5.JPG 09_10_fph4mh.jpg 002.JP.jpg KIPITASHOTO+FISH.JPG IMG_2625.JPG Bugando_Cornell%20Group%20Summer%2008.JPG dsc_0542.jpg
   
 13. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  siku matejoo kumekuwa safi?
   
 14. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,857
  Likes Received: 4,535
  Trophy Points: 280
  QUOTE=afrodenzi;mie napenda Arusha ..ajili nikusafi sana....

  Arusha,uwizi wa mali na magari, ujambazi na mauaji nje nje! Watu wana roho mbaya sana Arusha.
   
 15. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #15
  Dec 18, 2010
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwa tz - Mwanza

  Ila napenda Kampala
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Dec 18, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  uwizi ujambazi huo upo kila mahalia Tanzania, Kenya, Uganda..
  mmmhh hata useme nini mi bado napenda Arusha...
  we huoni nairobi kulivyokuwa hovyo..
  kwa kila kitu ulichotaja hapo juu kinapatikana nairobi na zaidi...
   
 17. M

  Mubii Senior Member

  #17
  Dec 19, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ungeingiza manispaa ya Moshi Mjini. Nasikia inatajwa kuwa mji msafi kuliko yote Tanzania.
   
 18. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #18
  Dec 19, 2010
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,221
  Likes Received: 7,342
  Trophy Points: 280
  Kwa Taarifa tu, Manispaa ya Moshi ni moja ya miji 5 bora barani Afrika (Rejea taarifa ya ubora wa miji Afrika).

  Majibu ya baadhi ya hoja zako mkubwa
  1. Kutokana na kutokuwa na miundo mbinu mizuri Ziwa Victoria linachafuliwa kwa kiwango kikubwa na maji taka toka Mwanza. Utafiti uliofanywa na taasisi za Afya umebainisha kuwa wakazi wa mwanza wanaoishi vilimani hawana vyoo.
  2. Reli ipi mkubwa, maana hakuna treni tena, wawekezaji wa kihindi wameng'oa injini na wameleta viberenge!
  3. Kuna magari matatu ya zimamoto na inachukua nusu saa hadi saa nzima kufika kwenye tukio kama yatakuwa na maji. Hakuna vituo vya kujazia maji hadi gari zirudi makao makuu. Huduma za uokoaji ni hafifu na kama unazungumzia uoakoaji basi ni kwa vigezo vya Tanzania kwa maana ya kuwa havikidhi hata robo ya viwango vya kimataifa. Mfanyakazi wa Zimamoto amevaa kandambili au raba, halafu unasema huduma za zimamoto!
  4. Kama wingi wa samaki unaleta ubora, vipi mombasa, Zanzibar, Tanga, Mtwara n.k!
  5. Ni Wakrimu! Huko si ndiko mauaji ya vikongwe na Albino yalipoanzia na yanaendelea, una maana gani kwa neno Ukarimu mkuu.
  6. Makao makuu ya A.Mashariki, haikujulikana kama Rwanda na Burundi zingejiunga nyakati hizo. It is too late now.
   
 19. m

  mamakunda JF-Expert Member

  #19
  Dec 19, 2010
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 371
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa upande wangu, Umepatia ndugu. No comments!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
   
 20. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #20
  Dec 19, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Unataka nini zaidi wakati kila kitu amekiweka wazi!!
   
Loading...