Wabongo Kama mamtoni

Quinty

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
463
195
Wabongo wanaendesha Toyota Kama vile wanadrve hummer...wanavuta sigara kama vile cigar...wanatembea kama vile ardhi ina moto...kazi kweli kweli
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
52,064
2,000
Wabongo wanaendesha Toyota Kama vile wanadrve hummer...wanavuta sigara kama vile cigar...wanatembea kama vile ardhi ina moto...kazi kweli kweli

unamaanisha wanadunda dunda? maceki bob nini unamaanisha? ahahah
 
Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,308
2,000
Wabongo wanaendesha Toyota Kama vile wanadrve hummer...wanavuta sigara kama vile cigar...wanatembea kama vile ardhi ina moto...kazi kweli kweli

ungeweka picha ningejaribu kuelewa.....hivi ulikuwa unataka kumaanisha nini hasa?...toyota kama hammer?...sigara kama cigar?....are you:crazy:
 
Nzi

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
13,930
2,000
Hamjamwelewa?! Wabongo tunapenda kujishow off na kuwa hollywood/american rock stars wannabes.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom