MBG: G. LEMA AZINDUA ArDP JANA

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,221
368
Wana JF,

Jana nilihudhuria tafrija ya uzinduzi wa Mfuko wa maendeleo ya watu wa Arusha(Arusha Development Foundation) kwa Ajiri ya kusomesha watoto waliopatwa na matatizo ya kujiunga kidato cha kwanza.

Bila shaka watu walifi ingawa sio wengio wao wote walio alikwa bali ukumbi ulijaaa na kwajinsi hiyo nilio iyona basi huo ni mfano bora sana kwa wananchi wao wenyewe kuweza kuchangia maendeleo yao wenyewe na walipata kiasi cha 25Mil Tsh.

Na huo ni mwanzo tuu nadhani huo mfuko ukifanikiwa kweli utaleta matumaini makubwa sana kwa wakazi wa Arusha
 
MTWA

JF-Expert Member
Aug 5, 2009
1,155
159

kwa msimamo huo big up, Wataisoma namba!!!!

Wasipoiga basi wanaoondoka 2015
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,211
8,677
Wana JF,

Jana nilihudhuria tafrija ya uzinduzi wa Mfuko wa maendeleo ya watu wa Arusha(Arusha Development Foundation) kwa Ajiri ya kusomesha watoto waliopatwa na matatizo ya kujiunga kidato cha kwanza.

Bila shaka watu walifi ingawa sio wengio wao wote walio alikwa bali ukumbi ulijaaa na kwajinsi hiyo nilio iyona basi huo ni mfano bora sana kwa wananchi wao wenyewe kuweza kuchangia maendeleo yao wenyewe na walipata kiasi cha 25Mil Tsh.

Na huo ni mwanzo tuu nadhani huo mfuko ukifanikiwa kweli utaleta matumaini makubwa sana kwa wakazi wa Arusha
Bila shaka alikuwa na bandeji mingi usoni!

That is a very good move...hizo 25M peke yake zitasaidia si chini ya watoto 100, ni mwanzo mzurisana huu...
Wajinga wachache wanaoishi nyumba za full-suit bati wanataka kuvuruga mikakati yako, lakini no way back..watakuwa wamechanganyikiwa sasa, na watakuwa wanapanga kipigo kingine kwako, lakini ukimwelewa MPUMBAVU ni rahisi kumkwepa!
 
Kimsingi hii ndo fimbo kali kwa wale wanaotafuta madaraka wajitajirishe huku wakiwazuia wapiganaji wa kweli. Unapambana, na maendeleo unafanya!!!

Lazima watambue Peooooooooooooooples Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!
 
Tata

JF-Expert Member
Dec 3, 2009
5,800
2,712
Wana JF,

Jana nilihudhuria tafrija ya uzinduzi wa Mfuko wa maendeleo ya watu wa Arusha(Arusha Development Foundation) kwa Ajiri ya kusomesha watoto waliopatwa na matatizo ya kujiunga kidato cha kwanza.

Bila shaka watu walifi ingawa sio wengio wao wote walio alikwa bali ukumbi ulijaaa na kwajinsi hiyo nilio iyona basi huo ni mfano bora sana kwa wananchi wao wenyewe kuweza kuchangia maendeleo yao wenyewe na walipata kiasi cha 25Mil Tsh.

Na huo ni mwanzo tuu nadhani huo mfuko ukifanikiwa kweli utaleta matumaini makubwa sana kwa wakazi wa Arusha

Je unadhani hili ni suluhisho endelevu kwa tatizo la watoto kutokuendelea na masomo yao ya kidato cha kwanza? Ni nini hasa kinachowafanya washindwe kuendelea na masomo hayo?
 
MTWA

JF-Expert Member
Aug 5, 2009
1,155
159
Je unadhani hili ni suluhisho endelevu kwa tatizo la watoto kutokuendelea na masomo yao ya kidato cha kwanza? Ni nini hasa kinachowafanya washindwe kuendelea na masomo hayo?
At least he is trying to solve peoples problems.
Kama huwezi kuamini kuwa kuna watu wanakosa sh 20,000/ na michango ya madawati na walinzi shuleni nenda popote pale nje ya mji uliza watoto wanaofukuzwa kijinga kwaajili ya hilo.

Namuunga mkono, asaidie maskini kwa ngazi yake. suluhisho ni serikali iliyo madarakani. Yeye kama mbunge atasema huku akisolve immediate problems.
Big up lema endelea mbele zaidi!!
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,211
8,677
Je unadhani hili ni suluhisho endelevu kwa tatizo la watoto kutokuendelea na masomo yao ya kidato cha kwanza? Ni nini hasa kinachowafanya washindwe kuendelea na masomo hayo?
There are times we need FIRE BRIDADE rescue operations of this nature...Mambo mengine hayataki vikao, mikakati, semina, workshop, mkutano, tamasha, na majina kibao ya mapambo, wakati hayana mashiko kwa maendeleo...Kwa sasa shule zinafungua January, acha watoto waingie darasani initially, baada ya hapo ndo ianze MIKUKUTA, MEMKWA NA MIKURABITA YENU!
 
minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
64
lakini mfuko usaidie kweli walengwa na sio wajanja wachache kama tunavyoshuhudia kwenye chechemea
 
Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,221
368
Bila shaka alikuwa na bandeji mingi usoni!

That is a very good move...hizo 25M peke yake zitasaidia si chini ya watoto 100, ni mwanzo mzurisana huu...
Wajinga wachache wanaoishi nyumba za full-suit bati wanataka kuvuruga mikakati yako, lakini no way back..watakuwa wamechanganyikiwa sasa, na watakuwa wanapanga kipigo kingine kwako, lakini ukimwelewa MPUMBAVU ni rahisi kumkwepa!

Ki ukweli mkuu kwa jinsi nilivyo mwona na niliongea nae alikuwa mzima wa Afya tuu ha hakuwa na bandeji kama unavyo dhani mkuu ila tu ni sauti ndio ilikuwa imekuwa ya mkwaruzo tokana na ile kashi kashi ya juzi pale manispaaa.

Kwa mkakakti huo walio upanga ArDF kweli nami nawatakia mafanikia makubwa sana na wamesema kila kitu kitakuwa transparent details zote za wachangiaji zitakuwa zikitumwa kwenye simu zao na hata kwa email zao.

Pia watato namba kwa makampuni ya simu ili kwa watakao jiunga watakuwa wanachangia pesa kidogo ilikufanikiasha maendeleo ya mji wa arusha kwa kuhakikisha wanafanikisha mipango yote kielimu na kadhalika walisema watatumia neno ELIMU kwenda namba fulani ili kuchangia elimu ya vijana wa arusha. me nadhani watapiga hatua kubwa sana mfn wafanyakazi 4000 wakichangia 10,000/Tsh kila mmoja kwa mwezi ni pesa nyingi sana na itawafikisha mbali na hili lawezekana kwani ni mind set ya wakazi wa Arusha ikibadilika tu na kudhamilia kufanya mabadiliko kweli yatakuja bila ubishi sasa ni kuomba tuuu wananchi wa jimbo la arusha walivalie njuga na kujipangia mikakati ya kwenda mbele maendeleo ni ya wana Arusha na kufanya iwe Arusha mpya

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,221
368
lakini mfuko usaidie kweli walengwa na sio wajanja wachache kama tunavyoshuhudia kwenye chechemea

Teh teh umenikumbusha Lema alimkalibisha mchungani mmoja na akawaambia huo mfuko usije ukawa wa wajanja wachache kwani hapa inatoka jasho la watu na kwa uzuri si mumisajili hiyo taasisi ArDF na akawaaambia kaene macho la sivyo tutawapeleka The Hague na wasije fanya ujanja hapo na uzuri watu walio kusanyika pale wote wanafahamiana sasa atakeye pindisha sijui kweli atakuwa ni mjinga wa hali ya juu sana.

Unajua hapo ndipo mahali pa kujenga maendeleo ya wananchi wenu hata kama kesho haupo mungu amekupenda zaidi watu watu wakushukuru kwa jema. maana najua hapo wakichanganya michango yao na ya serikali na ya misaaada duuuh amakweli itakuwa Arusha Mpya bila ubishi

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom