Dr Edwaed Hoseah ni nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Edwaed Hoseah ni nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ba mdogo, Dec 28, 2010.

 1. b

  ba mdogo Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :drum:

  Dr Edward Hoseah ni nani?


  waja JF hebu nusaidieni. nimesoma na kusikia mambo mengi kuhusu Dr Hoseah ila sijapa wasifu wake mpaka sasa. Nisaidieni kupata cv yake na nguzo hasa anayoiegemea hadi kuwatishio hapa nchini. Itasaidia kujua kiburi chake cha hadi kumvua nguo Rais wake kwa wahisani anakozipata. Ni mtanzania kweli? au ni kibaraka?
   
Loading...