Kusheherekea mwaka 2011 mod kutoa msamaha waliopigwa ban!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kusheherekea mwaka 2011 mod kutoa msamaha waliopigwa ban!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Dec 28, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Habari zilizotofikia punde zinasema mod yuko mbion kutoa misamaha ya ban kwa wale wotewaliopindisha sheria kwa mwaka 2010 na hii ikifwatana na onyo kali kuingia 2011Pamoja na hayo naomba mtakaosamehewa muwe na adabu 2011 mwaka wa kukatana shingo ukipigwa ban basi miezi sita ya mwezi mwezi wiki tumewachoka Manyalia umeipata hiiKama ni kweli wish moyo huo uendelee kila baada ya miezi kadhaa na Mungu akubariki na familia yakoTwatakia HAPPY NEW YRRGDSDIDY
   
Loading...