Kulikoni manispaa ya kinondoni??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikoni manispaa ya kinondoni???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sendeu, Dec 28, 2010.

 1. S

  Sendeu Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Manispaa ya kinondoni ndio inayoongoza kwa wizi,ubadhirifu,kutokuwajibika,miradi isiyo tekelezeka mfano: ujenzi wa daraja la makongo juu (jirani na msitu wa jeshi) kuunganisha na maeneo ya Goba stendi ili kurahisisha usafiri wa daladala Mwenge-Makongo Juu-Goba,barabara mbovu mfano:Makumbusho,Sinza,Kijitonyama,Kimara kwenda Tabata,uchafu wa takataka japo magari wanayo na vifaa na kodi zinalipwa!! hii inatia aibu kwa manispaa ya kinondoni,migogoro ya viwanja,kelele za disco usiku nk just to mention.
  Jamani tufanyeje kwenye hili?? Mimi ningeshauri hii manispaa ivunjwe/zigawanywe ziwe mbili majina yatapangwa na madiwani ili kurahisisha kasi ya maendeleo kwa kinondoni.

  Wenye mawazo zaidi jamani wakazi wa kinondoni tuchangie hili .Asanteni
   
Loading...