Petition ya kuunga mkono kuanzishwa kwa Chama cha Watumia Umeme Tanzania

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
965
1,000
Umeme imekuwa ni bidhaa ambayo gharama zake zimekuwa zikipanda kila mara na yote yanafanywa ili kumbebesha mwananchi wa kawaida kulipia gharama za maamuzi mabovu ya viongozi na serikali ya CCM.

Sasa imefika wakati wa kusema enough is enough
Hivyo nawaomba JF wenye kuguswa na hili kuunga mkono petition ya kuanzishwa Chama cha Watumia Umeme Tanzania ili kiwe na uwezo wa kufanya mikakati ya kukabiliana na Tanesco na serikali.

Wanaounga mkono wananze kusaini hapa chini. Mwitikio ukiwa mzuri basi itabidi tukutane na kufanya jitiada za kusajili chama.

note: hakitakuwa cha kisiasa bali cha kutetea watumia umeme
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom