Baada ya CCM kufanya uchaguzi wa kibabe wa meya na naibu wake Arusha ambao ulilaaniwa na kupingwa na watu wengi leo madiwani wa chama cha CHADEMA Arusha watakutana na kuchagua meya na naibu wake. Source: Magazeti mbalimbali ya leo.