Hii Expiry date hii! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii Expiry date hii!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GM7, Dec 20, 2010.

 1. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mara nyingi sana tarehe ya mwisho wa kutumika kwa bidhaa za chakula na vinywaji inaangaliwa sana na imekuwa printed. Sasa hivi jana alikuja mzungu mmoja kununua vocha ya simu ya Airtel, yeye cha kwanza kabisa akaangalia expiring date ya kwenye ile vocha akakuta imeandikwa 30/11/2010. Sasa hapo ndipo mabishano kati ya mzungu na mwafrika yalipoanza.

  Mzungu: Hii hapana bwana imeexpire nipe nyingine.
  Mimi: Kampuni ya Airtel ilisogeza mbele muda wa kutumika kwa hizi vocha kwa sababu vocha nyingi zilikuwa hazijaisha na bado ziko sokoni, na hapo inafanyakazi kama kawaida usiwe na wasiwasi.
  Mzungu: Hapana wewe mwizi hii vocha imeexpire veve kwanini unauza.

  Mabishano haya yalichukua takribani dakika 5 hivi. Ndipo nikaamua kumpa mzungu wa vocha za sh.1000 tano badala ya sh. 5000 ya pamoja. Kazi kweli kweli yaani jamaa hawakubali hata kuelimishwa wao wanachojali mbona imeandikwa mwisho wa matumizi yake na hawaki kwa mdomo.
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yeah, stick to writings!
   
Loading...