Tetesi: Paradise hotel-Bagamoyo ilichomwa na mmiliki.

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Nimepata habari kutoka kwa rafiki anaefanya kazi ya bima kuwa uchunguzi umeonyesha moto ulioteketeza Paradise resort-Bagamoyo ulianzishwa kwa makusudi kwa maagizo ya mmiliki ili alipwe Bima na kuibadili na kuijenga kivingine.Mmiliki wa Oceanic hotel ya jirani ana mpango wa kumshitaki mmiliki wa Paradise kwa kumsababishia hasara kubwa kwakuwa moto uliiathiri hoteli yake pia.Kuna uwezekano wa mmiliki wa Paradise kufunguliwa mashitaka kwa kuhatarisha maisha ya wateja na wafanyakazi wake.Mmiliki huyo yuko nje ya nchi kwa wakati huu.
 
Ata mimi nimesikia hivyo,kwani ata wakati akiwa Morogoro the same happen to one of his investment na akalipwa na bima na ndo akapata hela za kujenga Bagamoyo!So uwenda kuna ukweli
 
Hearsay? What if you are challenged to offer proof of your assertions?
Ndio maana nimeandika 'TETESI' mmiliki wa Paradise anajaribu kuizima kwa nguvu zote akidai itamuharibia mambo mengi na anasema kakubali wasimlipe na atajaribu ku-settle na mmiliki wa Oceanic lakini yaishe kimya kimya.
 
Mkuu huyo Msomali mie nampata sana, before alifanyiaga watu kibao Passport za Tanzania wasomali, na alikuwa anafanya biashara ya kuleta Wasomari Nchini na kuwapitishia Mtwara to Mozambique way to South Africa as way mbele kwa mbele kwenda nchi zingine, ndo huyo huyo anamiliki Paradise ndani ya Kilimanjaro Hotel I think....Fisadi mkubwa sana huyo, Ukibisha nitakwambia hadi aliko sasa na anauraia wa nchi gani....
 
Ni kweli tupu mkuu, huyo anaepiga yeye ana PROOF gani? Sio kupinga tu uonekane unapinga....Jamaaa Wa Paradise yuko hivyo na alijaribugi jaribio la kwanza kuichoma likashindikana....he needs proof?proof his adoubles
 
Hotel yake mpya iko Mkapa towers(mafuta house).
 
Alichoma kiwanda cha Morogoro leather alichochukua kwenye ubinafsishaji miaka ya 90 na kulipwa mihela kibao bima akaanzisha Paradise-bagamoyo naona sasa wamemgomea.
 
Hotel yake mpya iko Mkapa towers(mafuta house).

Huyo Msomali ni mwizi na njia hizo hizo amezitumia sana Kutajirika na alikuwa anafanya kazi mbona na Mapolisi kibao tu? Mama ake mdogo ni jirani yangu so na Polisi hawakomi kuja hapo ndo most of madeal yake anajifichia hapo....Hata ile CITY garden ni yake pia...mitu eti inataka PROOF, ndo maana tunaongozwa kishenzi eti tunataka proof, proof gani tena hiyo?
 
Alichoma kiwanda cha Morogoro leather alichochukua kwenye ubinafsishaji miaka ya 90 na kulipwa mihela kibao bima akaanzisha Paradise-bagamoyo naona sasa wamemgomea.

Huyu huyu Msomali ana share hapo TANSOMA na yale Majengo mawili pale kariakoo sijui Tropical Hotel yanatazamana hivi, still tunataka proof? Aliingizaga wasomali 100 huyu huko kwa AMADORI kwa njia ya boat wakakamatwa lkn Sirikali yetu jamaa katoa fweza ngoma ikapetwa....Acheni nchi yetu iliwe na wanaojua bwana na sisi tunataka PROOF
 
Tunashukuru kwa kutuhabarisha tusiokuwa tunafahamu haya yote. Sijui hata hii nchi tunaipeleka wapi kama ni hivyo. Tunamuomba Mwenyeenzi Mungu ainusuru yeye mwenyewe nchi kutoka mikononi mwa wenye nia mbaya na nchi yetu tukufu ili ubinafsi na chuki zitokomee mbali. Aamen.
 
Hata EPA ilkuwa ngumu kwa Dr Slaa kuprove mpaka uchunguzi ukonyesha ukweli. Watu wasiwe wanabisha tuu mambo bila mpango, inabidi wao ndio waprove ubishi wao.
Issue za Insurance ndio mchezo wa wasomali hasa Marekani, wana skendo sana za kupindua au kogongesha magari na kudai bima ili wapate mitaji ya biashara. Sasa hivi serikali ya Marekani imeshawashtukia.
 
Hearsay? What if you are challenged to offer proof of your assertions?
Kuna Msomali mmoja anafanya kazi DOD aliniambia kuwa hiyo hoteli ilichomwa moto makusudi na mwenye mali alikuwa ameiwekea bima ya mamilioni ya dollars katika kampuni ya Lloyds. Sasa kama ni kweli ilikuwa imewekewa bima na Lloyds basi kuna ukweli katika ripoti hizi.
 
Huyu msomali anaurafiki na Mkwere na ndio anautumia urafiki huo kuhujumu nchi yetu si kwa kuwaingiza wasomali wenzie kiholela nchini tu bali hata kutumia mali za nchi bila kulipia ushuru /bure stahili!! Anatumia sehemu ya kiwanja cha ATC pale nyuma kama hoteli lakini sio tu anakaidi kulipa kodi ya pango bali halipi kodi kabisa japokuwa inasemekana mkataba wake wa pango umekwisha!!
 
Back
Top Bottom