Kauli ya Ngeleja ilikuwa na maana gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli ya Ngeleja ilikuwa na maana gani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mroojr, Dec 20, 2010.

 1. Mroojr

  Mroojr Member

  #1
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nasema hivyo kwa sababu hivi karibuni waziri wa nishati Willium Ngeleja alitutangazia watanzania kuwa mgawo wa umeme umeisha nchi nzima labda pale tu penye tatizo la kiufundi. Lakini bado tunaendelea kuona mgawo wa umeme. Kauli hiyo ilikuwa na maana ipi?
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  CCM ni mavi ya mbwa tu...hakuna cha mgao kuisha mgao unaendelea kama kawaida....
   
 3. c

  chelenje JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jiandae kwa uchaguzi 2015...
   
 4. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2010
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Tulijiandaa hivyo hivyo kwa uchaguzi wa 2010,guess what happened? Wakati wewe unajiandaa kwa 2015 na mafisadi pia hawajalala wanaendelea kujiandaa lakini namini ipo siku watachoka na wataachia!
   
 5. semango

  semango JF-Expert Member

  #5
  Dec 20, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ndo ubaya wa kuongozwa na wasanii.wanaleta bongo flavor mpaka ofisini
   
Loading...