Tukiwa na hawa tz tutakuwa tumetoka lakini.........................

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,668
13,237
Ama kweli tukifanikiwa kuwa na akina sitta 50, akina slaa 10, akina magufuli 70, akina mwakyembe 80, na vyama makini km chadema viwili tu....taifa litakuwa limekombolewa...................lakini kinyume chake, tukiwa na akina rostamu 5, lowasa 10, ,kikwetw 3,na vyama visivyomakini kama cuf na ccm 4 basi hatuna nchi tena tutakuwa km tulivyo sasa milele
naomba tubadilike kwa kuchagua viongozi makini na vyama makini. Naleta hoja
 
pia naamini tukiwa na dini fulani tunaweza kupiga hatua zaidi kuliko tukiwa na dini fulani au mchanganyiko wa dini fulani....tz inawezekana ila mambo mengi yana2fanya tukwame.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom