Wazo la kumtafuta JF Star Search aka GREAT THINKER (GT)

Afrika Furaha

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
329
0
Jamani wanaJF, natoa wazo kuwepo kwa shindano la kumtafuta JF Star Search aka GREAT THINKER (GT)

Mfano, labda atafutwe kila mwaka au kila baada ya miezi 6. Na vigezo viwe kama
- Katika kipindi cha mwaka mmoja (365 days) kaingia JF mara ngapi
- Na kwa muda huo katoa mchango mara ngapi, kwa ku-reply au ku-post new topic
- Katoa topic za aina gani kusaidia Jamii ielimike/ipate habari
- Katoa lugha za aina gani ktk post na reply zake
Na vigezo vingine vingi kadri itabavyoonekana inafaa. Mshindi atapatikana kwa kuzingatia vigezo 75% na kura za wanaJF 25%, mnaonaje wandugu??? Ma-Moderators mnaipata hii?? Imekaaje?? Ni wazo langu tu . . .
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,212
2,000

Recycle stuff!
Almost a 5th poster singin' the same lyric!...monotonous now!
Ndio maana umelalamika kuwa thread zako zinachanganywa, kumbe wewe ndo unakanganya mambo!
 
Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
4,333
2,000
inatofauti gani na hii tulioipigia kura hivi karibuni?
 
Afrika Furaha

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
329
0
Recycle stuff!
Almost a 5th poster singin' the same lyric!...monotonous now!
Ndio maana umelalamika kuwa thread zako zinachanganywa, kumbe wewe ndo unakanganya mambo!

Sijalalamikia mtu kuiba thread zangu, ninacholalamika ni Username mix. Anyway inawezekana imeshawahi kuwa posted previously BUT NOT EVERYONE WAS HERE SINCE 2006, new members are joining the forum everyday . . . so its better to use polite and understandable language instead of using ROUGH, UGLY AND CRITICIZING language. Be Educated
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,212
2,000
Sijalalamikia mtu kuiba thread zangu, ninacholalamika ni Username mix. Anyway inawezekana imeshawahi kuwa posted previously BUT NOT EVERYONE WAS HERE SINCE 2006, new members are joining the forum everyday . . . so its better to use polite and understandable language instead of using ROUGH, UGLY AND CRITICIZING language. Be Educated

If you cant convince them, CONFUSE THEM!!!....jaba-li.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom