ngoja niwe wazi kuhusu MMMJ....!!

Sizinga

JF-Expert Member
Oct 30, 2007
8,755
2,000
Haya ni maoni yangu tu, nimeona niandike hivi kutokana na hoja zake za hivi karibuni coz watu walimdiz sana MZEE MWANAKIJIJI....
Kiukweli huyu jamaa ndiye alinifanya mimi binafsi nijiunge na hii forums(na nadhani tupo wengi humu),kipindi kile ilikuwa jamboforums. Kipindi kile mwaka 2006 nikiwa mwaka wa 1 chuo nilivutiwa sana na mada zake, na nilibahatika kuingia kwenye chating rooms ambazo yeye MMMJ alikuwepo, yaani kipindi mimi ilikuwa ni kucheka na kufurahi kwa kwenda mbele, coz alikuwa akiandika vitu ambavyo mm nikijiona kama kitukuu kinasimuliwa hadithi na babu yake.

Nikaamua kujiunga na website yake ya Mwanakijiji.com na kufuatilia mada zake(ingawa haikufanya vizuri sana). Kiukweli na hili naomba mwenyewe MMMJ au mtu yeyote anayemjua hata kama ni PM anifahamishe nilijue, hivi huyu jamaa kiukweli yupoje? ni kweli Mzee kama alivyo Prof. Baregu? au ni kijana tu rika kama la Zitto Kabwe? au ni serengeti boy? kiukweli natamani nimjue, coz nilitembelea site yake na mpaka kipindi kile aanzisha vijarida vya CHECHE, na copy zake zote za hivyo vijarida ninavyo, sikubahatika kuona picha yake ati ,alikuwa na mada nzuri na very logic zenye uchambuzi wa kina. Hata kama ni one of the Mods in JF bt he is very open na hata kwenye mada za kawaida utamkuta anachangia,ni tofauti sana na INVISIBLE,ambaye mpaka mada iwe critical ndipo anatokea,na mimi ile avatar yake ya kininja naiogopa sana nikiiona(najua either ni ban au smtng critical),ni tofauti sana na MMMJ.

Kiukweli huyu jamaa MMMJ is my HERO in jamiiforums na ndio yeye amenifanya mie niwe mwanaharakati na najivunia kwa hilo na niko mbioni kupambana 2015 jimbo flani kule mikoa ya kusini. Bt still i want to knw the guy MMMJ....Ingawa nilistushwa na recent treads zake bt still he has smthng important beyond the theme, na inahitaji busara kuliona hilo. :kev::ranger::closed_2:
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,981
2,000
A big round of applause everyone. And who said Mwanakijiji's activism was for naught?

Mwanakijiji is the number one seed and so out of many's league.

Mad big ups.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom