Why religious university in our country? hasara yake ni nini in the long run? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why religious university in our country? hasara yake ni nini in the long run?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Hute, Dec 17, 2010.

 1. H

  Hute JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,038
  Likes Received: 3,909
  Trophy Points: 280
  Naomba kuuliza swali hili. Nina tatizo fulani najisikia vibaya pale tu ninapoona Tz kuna vyuo vikuu vingi, vingine vimeanzishwa na selikali, lakini vingine vimeanzishwa na watu private hasahasa mashirika ya dini. UNAJISIKIAJE UTAKAPOTEMBELEA SEHEMU MOJAWAPO HAPA TZ UKAKUTANA NA CHUO KIMEANDIKWA...CHRISTIAN UNIVERSITY OF TANZANIA/DAR/IRINGA au MUSLIM UNIVERSITY OF TANZANIA/MORO ETC.

  unapata picha gani kusikia kitu kama icho kwenye nchi inayoamini kuunganisha wananchi wenye dini mbalimbali. Je, mimi ambaye ni mkristo nitasoma katika chuo kile cha muslim university of moro? pia yule ambaye ni Muislam atasoma chuo kile cha christian university of dar?(ambacho hakipo actually).

  Kwanini walioanzisha chuo cha morogoro wasitumie jina lolote ambalo sio la direct kiasi hicho, kwani pale wanafundisha elimu ya kiislam tu? pale wanasoma wakristo wangapi? na wanafundisha hasa nini?...mbona vyuo walivyoanzisha watu wa dini ingine hawajaweka christian university bali wamechagua jina tu litakalo accomodate watu wote wakajisikia comfortable kwenda pale, majina kam Tumaini university, ruaha university etc?...how do you feel ukiona kwenye nchi yako inayopinga udini, kuna chuo kinaitwa christian university of morogoro, au muslim university of morogoro?...utakuwa comfortable kwenda pale, utajisikia unakaribishwa kenda pale kusoma? au utakuwa wamekubagua wewe ambaye si wa dini ile? kwanini tunaachilia kitu kama hicho kuwepo nchini kwetu? kwanini hawa watu wanaoanzisha vyuo wasiweke majina ambayo ni neutral?
   
 2. Ncha

  Ncha JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mbona kuna St. Augustine, St. Fransis ni ninini hiyo? umetaja Tumaini tu, nini kimekukera? Be straight
   
 3. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,306
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  he is right. that name should be changed na watu wote waone kama ni chuo ambacho kila mtu aweza kwenda soma. tusiwe negative hata kwa vitu vilivyo na maana. st. augustin au kwingineko watu wote wanasoma, namaanisha mataifa na dini mbalimbali. ukiita christian universit maana yake kwa tafsiri ya haraka ni for christian. lets be honest kwa vitu vilivzo straight guys. mi siyo mdini na naamini katika dini zote. ukoloni hautakiwi kuendelea kututafuna jamani. lets be neutral kwa mambo ya kitaifa. i believe in GOD but tujikumbushe historia ya dini zililetwa na nani. sorry.
   
 4. IHOLOMELA

  IHOLOMELA JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 802
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 80
  kwani Moro university wanasoma waislamu peke yao? Acheni majungu kwa vi2 visivyo na msingi.!
   
 5. H

  Hute JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,038
  Likes Received: 3,909
  Trophy Points: 280
  ukweli uko pale pale, kama kuna st.agustine etc, basi nanyie mngeweka walau tawaqal, al watan, al shabab, hizb etc...at least hiyo haiko na direct connotation sana. lakini ukisikia christian university of tanzania, muslim university of tanzania, au morogoro, hakika yake neno hili liko very direct na siamini kama kuna mkristo hata mmoja anayesoma pale. tatizo langu si wakristo kusoma pale, tatizo ni neno hilo, kwanini liko direct sana? linajenga umoja kweli hili? na, vipi mwingine akianzisha university akaiita christian university of Iringa?...na pale wanafundisha nini kwa wale ambao wapo, wasijekuwa wanapika ma fundamentalist pale ambao wanatarajia kwenda kujiunga na al shabab,
   
 6. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  jamani tuwaache tu waite hivo manake wana hicho kimoja tu kwa nchi nzima yaani cha morogoro sasa ili watambulike nao wamo ndo wakaamua kuita hivo labda baadae wataita al tawaqal au al shabab au alnuur, al qaida nk nk nk tuwape muda sasa wakianzisha kingine hawatakuwa na ujanja. sisi hatujitapi manake tuna vingi kila kona ya nchi kuanzia mtwara hadi magharibi mwanchi.:painkiller:
   
 7. Kibaraka

  Kibaraka JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2010
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna shule iliyokuwa forodhani secondary school sasa inaitwa St.Joseph's cathedral high school.
  Hiyo nayo haina jina la kikristo?

  Maana ya Cathedra: is the main church of diocese.
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kuna faida tu.. kwani wanapotoa elimu, hawana udini unaotaka tuamini

  ukizunguka dunia nzima hivyo vyuo vipo ni moja ya mikakati ya kukuza elimu na pia kuongeza kipato
   
 9. C

  Chungu_tamu Member

  #9
  Dec 19, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapa nimeona tatizo sio jina kwan huyu bwana mkubwa anajua kabisa kama kuna vyuo ving Tz vya kikristo na vina majina ya kikristo,tatizo hapa ni chuo chenyewe maana waislam walipopea majengo na serkal ya awamu ya tatu wakristo walikuja juu kwanini waislam wapewe chuo ilihal wao wanapata maruzuku kibao kutoka serikalini.Ndugu yangu sisi waislam wala hatuon tatizo na majina ya vyuo vyenu muda wakuwa DINI yetu itaheshimika na suala la umoja wa kitaifa sio kikwazo cha mimi mtu binafsi au kikundi kuanzisha shule,chuo au kuanzisha huduma yoyote ile ya kijamii kisha kitu husika nikakipa jina la dini ilhal hakuna ubaguz wa din nyingine kama tunavyoona kuna mabas yenye majina ya kidini au na hawa wenye mabas tuwazuia kuandika majina ya kidin kisa Mkristo au muislam ambaye ameingia kwenye gari lenye jina ambalo halilandan na iman atijisikie vibaya?TUWE WA WAZ TATIZO SIO JINA?
   
 10. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #10
  Dec 19, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mbona UDINI mmeung'ang'ania sana jama eenhh!vp kwa hiyo hapo jibu unalolitaka ni lipi kwamba Tanzania 2na udini au?anzisheni thread za kukemea udini co kuchochea udin ikishindikana 2ipotezee kama 2livyofanya kwa ukabila.Cjaona m2 anauliza kuhusu ukabila 2fanye hivyo na udini kama 2meshidwa kuukemea bac!
   
Loading...