Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MAGAZETI YAMEANZA KUFILISIKA: MAJIRA kama mnakumbuka walikuwa na domain yao, inasemekana walishindwa kuilipia ikazuiwa na sasa inauzwa kwa mwenye pesa yake, hapo nimewapa hint ndogo (usiulize...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BAADA ya kukamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri na kuliapisha hivi karibuni, Rais Jakaya Kikwete ameendelea kupanga safu zake za watendaji katika ngazi mbalimbali baada ya ushindi wa Uchaguzi...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Siku zote huwa nasikia watu wakisema huo ndio ukubwa,Kwan ukubwa huanzia wapi? Au ukiwa na miaka 18 ndio tayari unaanzia hapo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. General Tyre 2. NDC 3. STAMICO Nawasilisha!
0 Reactions
21 Replies
3K Views
GreaTtHinkers, Kama ilivyozoeleka kuwa yeye ni Mzee wa Int. Trips mnadhani ataanzia nchi gani safari hii?:target:
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Elizabeth Ernest na Mwanaidi Abasi SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema haijulikani ni mgawo wa nishati hiyo ambayo mkoani Dar es Salaam, imekuwa ikipatikana kwa njia hiyo, utamalizika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hili ni ngumu kuamini lakini kazi tulioianzisha naona shuguli yake imeanza kwa upende wa kawe wapendwa kuna sehemu tulishabikia sana chadema na kufikia kutoa wake zetu kafara wasipoipigia chadema...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kuna ufisadi mkubwa nazani,ujenzi hakuna kitu miradi mingi imeisha labda viwanja vya ndege
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Nimesikia Marsha Ex minister ameamua kuwa mwanamasubwi baada ya kuzichapa na Jeneral Ulimwengu Bar...Mwenye taarifa kamili atuhabarishe
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Wandugu, hebu nisaidieni kufafanua huo haya maneno hapa; "Kuwika kwa Jogoo kunahitaji Busara". Ni kweli jogoo hua anawika kwa busara? Na kama ndio, kwani viumbe wengine, ukiwaacha wana-wa -...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Top 10 Stats View more Turn off Top Stats 1Mzee Mwanakijiji21,3882Nyani Ngabu19,9233Bubu Ataka Kusema14,1014Field Marshall ES12,9185Rev...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mali zilizookolewa na polisi Mbeya 'zayeyuka' Na Rashid Mkwinda, Mbeya WAFANYABIASHARA wa Soko la Uhindini lililoungua moto usiku wa kuamkia jana jijini Mbeya wamelilaumu Jeshi la Polisi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbega ameondoa hadi mapazia ofisini-Mbunge Tumaini Msowoya, Iringa VITENDO vya wabunge wa CCM kuhamisha samani na vitu vingine kwenye ofisi za wabunge majimboni, jana liliibukia Iringa Mjini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
IMEZOELEKA sehemu nyingi duniani kusikia kesi nyingi za ubakaji huwahusisha wanaume. Lakini yaliyotokea Papua New Guinea yameshtua ulimwengu baada ya kesi ya kijana mdogo wa kiume kubakwa na...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Naomba mwenye jibu anijuze... Ni vipi tumefika hapa tulipo sasa. Rushwa sasa imekuwa kama kitu cha kawaida, wafanyakazi serikalini hawakupi huduma eti mpaka uwape takrima.... Wamegeuza shughuli...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
VITENDO vya wabunge wa CCM kuhamisha samani na vitu vingine kwenye ofisi za wabunge majimboni, jana liliibukia Iringa Mjini ambako mbunge mpya kwa tiketi ya Chadema, Peter Msigwa amedai kuikuta...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi si waziri mpole-Kawambwa WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa amesema yeye si waziri mpole kwa sababu ya kutotema cheche kama wenzake, bali ni mkali kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujulishwa hapa tanzania ni wapi naweza pata majarida ya katuni za tin Tin na kale ka-mbwa kake (kenye akili haina mfano). Nalijaribu wakati fulani kutafuta kwenye maduka ya vitabu na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama ni kuibiwa na kutapeliwa na Baadhiya wana habari walikosa maadili yatakuwa yamewapata wengi ila hawana pa kusemea maana hata wakisema nani ataandika maana wengi wao wako kundi moja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MAKALI ya tatizo la umeme yamezidi baada ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), kueleza kuwa mgawo wa umeme sasa si wa mikoa saba pekee, bali mikoa yote inayopata umeme kupitia gridi ya taifa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…