TCRA mpo hai au mmekufa?

Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,621
1,629
Wakuu jana nilichelewa kulala kidogo na nikawa nasikiliza redio (it was Clouds Fm) na ilikuwa mida ya kipindi kilichoitwa 'ALA ZA ROHO' na Loveness Love. Of course alikuwa na mada nzuri kuhusu usafi wa maeneo 'nyeti'. Lakini kilichonishangaza ni yeye alipotaja maeneo ya mwanaume yaa korodani bila ya kupunguza ukali wa neno lenyewe namaanisha alikuwa anatamka neno PUMBU kama lilivyo. Hivi kwa maadili yetu hii ni sahihi? Kwanini watu wa TCRA wasichukue hatua stahiki? Nawasilisha (i stand to be corrected).
 
ulitaka pumbu liitwe kiwiko mkuu? tuwe frank wakati mwingine.

no mkuu! Pumbu lina majina mengi likiwemo korodani etc, angetumia hilo kuliko lenyewe tena kwenye media kama ile how f**k are they!!
 
hawajafa ila wamepumzika kidogo si unjua tena ki holiday ? Wakirudi wataweka mambo sawa endeleeni tu kuwasubiria ila simo kabisa
 
Katika lugha kuna kitu kinaitwa kupunguza makali ya maneno badala ya kutumia neno lenyewe. Mf kwenda uani badala ya chooni
 
Katika lugha kuna kitu kinaitwa kupunguza makali ya maneno badala ya kutumia neno lenyewe. Mf kwenda uani badala ya chooni
 
Back
Top Bottom