Tanesco wanafikiria nini...

RACKY

Member
Aug 14, 2010
31
1
Hivi karibuni tumesikia ya kwamba tanesco kanzia 1jan watapandisha bei ya umeme.
Mbali na hilo Tanesco imekuwa ikipambana dhidi ya kuondoa/kupunguza vishoka wanaojitokeza kufanya shughuli mbalimbali za shirika kinyume na matakwa ya office.
Sasa leo hii tanesco baada ya kupandisha bei za umeme, pia ina watoa wafanyakazi wake katika kundi walilokuwa la kupunguziwa gharama za malipo na kulipa kama raia wakawaida. Hili kwa tanesco sidhani kama wakati wanaliadhimia walikumbuka Kero inayo wasumbua ya Vishoka!!
Kwa sababu sidhani kama wafanyakazi hao walio kuwa wamezoea bwerere tokea enzi, wataweza kulipa Gharama hzo ingawa uwezo wakulipa wanao. Mana wahenga walisema Mazoea Hujenga Tabia.
Kwakuwa wana mazoea ya kutolipa gharama stahili basi wata chakachua tuu pale watakapo ambiwa walipe. Je vishoka sindo watazidi Tanesco.
Napenda kujua hili jaman
 
Back
Top Bottom