Mfanyakazi wa ITV afariki dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfanyakazi wa ITV afariki dunia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ulimbo, Dec 25, 2010.

 1. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Nimepata habari toka kwa rafiki yangu kuwa mpiga picha wa ITV - Arusha aliyemtaja kwa jina moja la Abuu anayefanya kazi na Mwanaid Mkwizu alipata ajali jana na kufariki maeneo ya mwanga.
  Tunaomba kama kuna mtu wa karibu naye au mtu mwenye habari zaidi atujuze.
   
Loading...