Gazeti MwanaHalisi
RAIS Jakaya Kikwete amesema serikali haina uwezo wa kulipa kima cha chini cha mshahara wa Sh. 315,000 kwa watumishi wake.
Anasema kiasi hicho cha fedha ni kikubwa...
Kabla ya ordination kuanza rasmi Yesu aliongea na wale kumi na mbili,walipokaa kumzunguka.Akasema,
''Ndugu zangu,hii saa ya ufalme imefika. Nimewaleta hapa pembeni ili niwatambulishe kwa Baba...
Kwa walioona taarifa ya habari jana hakika leo itakuwa nghumu kula hii tomato hata ukiambiwa ni origin...kampuni ya ukaguzi wa vyakula tfda imemkamata kijana mmoja akiwa anatengeneza tomato ambazo...
WanaJF naomba msaada wenu, mimi nikuwa nikipata hudama mara nyingi kwenye hospital ya CCBRT. Nimekuwa nikifatilia mkwaluzano uliopo kati ya Hospital hii kipenzi cha wengi na Serikali.
Mwaka Jana...
Ukifuatiliua vizuri historia ya Thailand utaona kuwa hali iliyofikiwa sasa hivi inatokana na uminywaji wa haki wa muda mrefu uliofanywa na watawala mbali mbali, hali ya rushwa kubwa (grand...
:confused2:Moshi kidnap: Serious case of security lapse
By Editor
18th May 2010
The story of an eight-year old Moshi Municipality boy whose parents last week single-handedly...
Nilisimuliwa kisa cha mbayuwayu ambaye alikuwa anaishi katika shamba la Mkulima mmoja huko Ukwereni. Mbayuwayu huyo aliishi na wenzake katika maisha ya kutegemea nafaka na mbegu mbalimbali...
Lile sakata la muda mrefu juu ya matumizi ya maji ya mto Nile baina ya Misri na Sudan dhidi ya nchi za maziwa makuu limeendelea kuchukua sura mpya baada ya nchi tano za maziwa makuu ikiwemo...
Bahari | Ipi Ltd | Property Investments Specialists | UK
Haya wadau oneni Ma Project hayo.
Bei zake ni balaa, lazima uwe fisadi uweze kununua. No wonder kila mtu sasa hivi anajitahidi kuiba...
why can't most men stick to 1 woman ?
why can't most men take responsibilities ?
why is it most men have to lie ?
why can't most men commit themselve's n stick to it ?
why do most men like...
Aliyeaga kwenda misa ya kwanza Kristo Mfalme akutwa akizini Send to a friend Sunday, 16 May 2010 20:09 0diggsdigg
Daniel Mjema, Moshi
MJI wa Moshi na vitongoji vyake, jana ulizizima baada ya...
rais jakaya mrisho kikwete akiwa na rais wa awamu ya tatu bw.ben mkapa wakitembelea baadhi ya maeneo ya ukanda maalum wa uwekezaji kwaajili ya kuuza nje(benjamin william mkapa special economic...
MTU mmoja anayedaiwa kuwa ni mchawi alidondoka kwenye nyumba moja eneo la Mbezi Luis jijini Dar es Salaam akiwa safarini kwa njia ya ungo akielekea Shelisheli kwenye mkutano wa wachawi.
Taarifa...
Balbu hizi ni hatari
Monday, 17 May 2010 12:22
LONDON, Uingereza
WAKATI teknolojia ya matumizi ya nishati ya umeme yakizidi kukua, Wizara ya Afya nchini Uingereza imehadharisha kuhusu...
Hivi karibuni jamaa yangu alikwenda dukani kununua neti ya olyset inayosifika kwa ubora wa kukinga mbu,akalipa sh 8000 akapewa neti ya olyset iliyofungwa kwenye mfuko wa nailoni wenye nembo ya...
kuna habari zisizo rasmi ambazo zinadai kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta chama cha mabsi kina mpango wa kuongeza nauli kwa rout fupi kuwa sh 500 kuanzia ijumaa ijayo. Habari hii nimeiskia...