babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,280
- 20,832
rais jakaya mrisho kikwete akiwa na rais wa awamu ya tatu bw.ben mkapa wakitembelea baadhi ya maeneo ya ukanda maalum wa uwekezaji kwaajili ya kuuza nje(benjamin william mkapa special economic zone)huko mabibi ubungo jijini dar asubuhi leo.rais kikwete alifungua rasmi ukanda huo mpya wa uwekezaji.
source:michuzi
swali langu:huu ukanda maalum wa uwekezaji kwa ajili ya kuuza nje unamilikiwa na nani?serikali au ben mkapa&co?.na ni kwa manufaa ya nani?naomba mwenye jibu tueleweshane plz.