Tomato SRC feki zazagaa mtaani; Kiwanda kiko Buguruni nyumba ya mtu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Kwa walioona taarifa ya habari jana hakika leo itakuwa nghumu kula hii tomato hata ukiambiwa ni origin...kampuni ya ukaguzi wa vyakula tfda imemkamata kijana mmoja akiwa anatengeneza tomato ambazo zinatumiwa na walaji wengi sana katika mazingira hatarishi huku akitumia nyanya na tomato taste zilizoisha muda wake

Hakika tanzania itabaki kuwa tanzania baada ya maneno mengi malumbano mengi walianza kuchukua nyanya zile zilizokuwa zimechanganywa na rangi na sodium n....na mengineyo huuku kijana aanaeulizwa akikiri kutengeneza.

zaidi ya miaka 4 na kusema anavyo vyeti vyotee vinavyotakiwa Bumbuwazi liliwashuka wazee wa TFDA Wakiambatana na ma polisi pale walipoonyeshwa doc zote muhimu zinatakiwa...na akukuwa na mis yoyote
ya doc muhimu ndipo mikasema hii ni dhama hawa washenzi wanakuja kukamata ama kwa kunyimwa cha juu ama sababu gan wakati docs wametoa wenyewe.

Hakika tanzania tutaisha na hii ndio maana sasa najua kwa nini ma operation yamejaa kule mahospitalini badala ya kujifungua kawaida watanzania yale masuguria yalikuwa machafu aibu hata kuangalia unaona kinyaa.

Mwenyezi mungu utuokoe.....chips ruksa tusiogope ....
 
Back
Top Bottom