Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
WanaJF naomba msaada wenu, mimi nikuwa nikipata hudama mara nyingi kwenye hospital ya CCBRT. Nimekuwa nikifatilia mkwaluzano uliopo kati ya Hospital hii kipenzi cha wengi na Serikali.
Mwaka Jana katika gazeti fulani(sikumbuki ni gazeti gani samahani) wizara ya afya alitoa orodha ya hospital ambazo zinafanya vibaya CCBRT ikiwemo, nilipoona hivyo sikuamini mana kwa Tanzania hakuna hospital nzuri kama ile(kwa huduma Zake)
Leo nimesikia kwenye magazeti kwamba serikali imevunja mkataba wake(sijui ni mkataba gani??)
WAnaJF nisadiani kwa hili.
1. Nani mmiliki wa CCBRT
2. Kwanini Serikali inasumbuana na CCBRT wakati inasadia kundi kubwa la watu hapa Tanzania??
3. Au kuna mikono ya kisiasa??